@maonyesho_yaperfume: Unapenda perfume yenye utamu wa kuvutia, floral elegance na warmth ya kipekee? Basi Khamrah Mira inastahili kuifahamu Inamfaa mwanamke anayependa harufu tamu zenye elegance na personality. Unaweza kuivaa kuanzia mchana hadi jioni. ☎️0766-106825 #perfume #viral #viralvideo #mwasiperfume #tiktok