uyo ni yesu mwenyewe mfalme wa salem ambayo ndo jerusalem
2026-11-05 11:29:17
0
THE IRGC NAVY :
2026-11-05 07:38:44
2
اهمد مجيدن :
kaka ukwer mchungu sema safi mungu asimame na ww
2026-11-05 09:18:40
3
Amade Matea :
Allah akuongoze njia iliyo njema🤲🤲🤲🤲🇲🇿🇲🇿
2026-11-05 08:13:54
1
muddy mwafy :
KAKA KARIBU KATIKA UISLAM NAFASI BADO UNAYO MUNGU AKUONGOZE
2026-11-05 12:07:10
1
makha 0776567816 :
ahsante mdogo wangu tuko pamoja
2026-11-05 09:40:39
1
Neema Joel :
jamani tutasikia mengi nyakati zamwisho mhmh sawa Mungu anajua walio wake
2026-11-05 18:56:43
0
NAJMA 💞💞 :
Mashaallah Mashaallah Allah hakuongeze
2026-11-05 08:41:32
0
Berry K. Hubert Jr. :
Basi twende kwenye Logic yako, Tunakubali Melchizedeck ni Mungu, infact kitheolojia tunatambua kuwa yeye, Angel of the Lord, Yule alipogana na Israel Usiku ni YHWH na ni a foreshadow of the Christ Jesus. Sasa basi, according to your own standards, unakubali Yesu ni Mungu?? 😅
2026-11-05 09:58:55
0
ubwa :
maashallah
2026-11-05 14:04:04
0
makha 0776567816 :
Allahu Aqbar
2026-11-05 09:40:00
1
makha 0776567816 :
Allahu Akbar
2026-11-05 09:40:18
1
Amani Giyam :
😂😂😂 kwa hio huyo melkizedeki alikuwepo kabla yankuumbwa kwa ulimwengu? 🤣🤣 acha hisia mtu kupewa fungu la kumi au kumbariki mwingine sio sifa kuu za Mungu mwenye enzi.
usilete hisia kwenye maandiko 😁
2026-11-05 09:47:46
0
𝓶𝓪𝓪𝓱 𝓷𝓲𝓻𝓻𝓪𝓱💞 :
Kwahio kama yesu angekua ni mungu alie muumbaa mariam mama ake yesu alikua ninanii au yesu alimuumbaa mariam ili aje kumzaa.....Jaman haya mamb nyie eeh najivunia kua muslim
2026-11-05 10:00:40
0
Dudukwe wa mchongo :
Weee jamaaa utanifanya niwe muislam maaana unajua sana kujenga .Lakini ukijenga hoja dhidi ya ukristo unakuta dini yetu hatusomi vizuri ila tukisoma bibria vizuri wote tutaangukia uislam.Na uislam sio Din mbaya tu sema wazungu wamewachafua sana
2026-11-05 18:41:33
0
user59480082235985 :
ukweli unauma
2026-11-05 12:56:56
0
leosse musenge :
kwani sisi wa cristo tuli mi uwiya nani enye muna panda tchuki kwa uzaho wenu dju yetu simutu atche mungu atatu ukumu mwenyewe
2026-11-05 17:47:45
0
اهمد مجيدن :
na wanasem yes amefufuk yupo mbingun ndio mana ni mung mbona eliya kapaa bila hata kufa na yeye tumuite mungu
2026-11-05 09:19:29
0
millionstars715 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-05 16:58:02
0
To see more videos from user @lux_auror, please go to the Tikwm
homepage.