@matukioonline_tv: Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, alivyiwataja baadhi ya wanaume aliowadai kuhusika kwenye sherehe inayodaiwa kuhusisha mashoga jijini Dar es Salaam, huku akiitaka Serikali kuwachukulia hatua.
Matukionline Tv
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 07:20:11 GMT
Music
Download
Comments
Mr energy 🍾 :
apo kwenYe mtoto WA mama sijaelewa ???
2026-11-05 10:56:02
25
💦🎀Im shee🦄🦄 :
Uyu ndo mbunge tunaemtaka sasa..
2026-11-05 13:17:54
89
Eduardo santos :
waitara tusaidie kupaza sauti serikali ipo Kimya
2026-11-05 09:13:37
92
Grace Richard :
TAnzania tuungane kwa pamoja kupinga ushonga jamani
2026-11-05 10:42:20
64
khalfansuleiman15 :
Sasa mataifa makubwa mtayambiaje?
2026-11-05 12:00:56
10
OZZII :
mimi nakuombea kwa Mungu wewe unamoyo wa baba naiona nchi mbali ukishika hatamu Mungu akutunze😇
2026-11-05 15:52:31
7
amour duma :
mwenyezimungu atunusuru kizazi chetu
2026-11-05 10:02:30
22
omarybarua836 :
nchi imekosa mhimili tumeyataka wenyewe
2026-11-06 13:55:30
1
jojo :
eeh Mungu tupe mwisho mwema
2026-11-05 18:51:24
6
REHEMA UHENGA :
mungu wasadie watotowetu
2026-11-06 03:47:28
1
user8696763596017 :
safi sana mzeewetu[Pray]
2026-11-05 16:52:15
2
💞رحمة علي 🥰 :
kwani serikali inasemaje?
2026-11-05 19:12:45
2
golo :
inalila
2026-11-05 14:15:16
3
Magreth Ibrahim :
mitano tena baba
2026-11-05 15:21:00
2
victa kosmas :
kweli kabisa mitano tena
2026-11-05 18:57:06
1
NAMTUMBO MOJA :
😂 ap kunamambo ay ✌
2026-11-05 19:18:45
1
G,Freys. :
duuh!! hali ni mbaya
2026-11-05 23:49:41
1
Grace Richard :
jamani mtu ana ongea hoja ya msingi mnasema taarifa taarifa why
2026-11-05 10:39:25
3
MANOMA🏆🙈🤟👑👑 :
Uyu mbunge mitano tena🤝
2026-11-05 20:54:29
6
mariamjumanne430 :
waitara ni mmoja tu,Asante jirani yangu kule kivule
2026-11-06 03:23:02
1
Naomi Said :
Inaumiza jaman
2026-11-05 18:34:02
1
user8358152677401 :
innalilah wainalilah lajiun
2026-11-05 13:38:57
2
mleno luis :
mbaka 2050 atuna tume kwisha
2026-11-05 18:00:24
1
faah💖 :
kwakweli tusaidie kwailo baba
2026-11-05 12:26:20
2
Mariam :
nikweli kabisa mungu akubaliki bab🥰🥰
2026-11-05 17:04:07
1
To see more videos from user @matukioonline_tv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.