Mm wangu anataka nimpe nida yangu achukue simu ya mkopo😂😂😂
2026-11-05 17:39:20
43
🌸💞Anna🦋🦋 :
😂😂 Ila malast born wanajua kutuendesha🙌🏻
2026-11-05 10:07:12
60
Kats_Collection_tz :
Nilitetemeka gafla😂😂
2026-11-05 19:38:01
9
officialrachel__ :
😂😂
2026-11-05 17:33:17
10
Philadelphia :
mimi nikishaona tu "Shikamoo" saa zingine sijibu natuma tu pesaa
2026-11-05 12:28:17
66
jaq_kitchens :
Yaniiii 🤣🤣🤣🤣kutwa kutumia namba mpyaaaa🤣🤣🤣🤣
2026-11-05 18:58:47
6
UEL-SIVAN 👼 :
Mama while scrolling at tiktok@
2026-11-05 19:11:16
0
David Sanga :
Dogo anakabia juu [Tears of joy]
2026-11-05 19:53:41
0
Lemimaa☺️ :
😂😂😂 I can relate walahi
2026-11-05 15:34:19
0
Therealsharon🦋🦋 :
The massages I will never ignore
2026-11-05 16:52:45
0
clarie :
I love my big bro😍❤️
2026-11-05 20:05:14
9
Evwin :
Wetu me nimechoka jmn🤣🤣🤣🤣
2026-11-05 15:08:50
6
Frazia Willium :
Fanya wepesi na Mungu atakubariki Amina 😂😂😂ila hawa watoto
2026-11-05 10:10:38
18
Miss Scola💖 :
woiiiii natamanigi na mimi ningekuwa na mdogo wangu jmn tena wakiume ila mama akasema inatosha nikajikuta wa mwisho 🌝🌝
2026-11-05 13:07:04
7
Nuru🥰 :
mwamba huyuu😁😁
2026-11-05 14:15:43
8
Tshirt_bei za china :
Mimi mdg wangu ndo ananipa hela kwa sasa ...yeye ni Dr. pale CCBRT sasa mimi wakati anasoma nilikuwa winga nikawa nampaga hela ya matumizi mama akimpea kidg so now nazila hela zake na mwanambia winga kuna muda hamna hela nipe tu mdg wangu
2026-11-05 11:16:32
10
Designed_by_Mishy💅🧕 :
Na sijajibu Mimi 😏😅😅😅
2026-11-05 11:46:00
15
little mimah :
Wangu anatak kuja dar na Cjuh ntamuweka wapi !?😁😁🙌
2026-11-05 13:29:57
5
N.e.n.e.h🦋🌸 :
Mama Jenerali popote ulipo acha ubabai 😂😂😂😂
2026-11-05 08:06:54
5
To see more videos from user @mimi_kul, please go to the Tikwm
homepage.