@katango79comedian: UNALIPWA POMBE😅😅😅😅😅#arusha #tanzania🇹🇿 #viralvideo #viral #fyp

katango comedian
katango comedian
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 07:32:49 GMT
31619
2170
64
187

Music

Download

Comments

asha_yusuph
asha_yusuph :
wale wa laki mbili hapa😂😂😂
2026-11-05 07:42:40
13
marwadenn
Dennismarwa :
dharau sana 😭😭😭😭 sasa nifanye kazi gani?
2026-11-05 15:15:42
4
joyce.vicent59
Joyce Vicent :
we niwakuchapa🙌🙌
2026-11-06 11:49:09
0
steven_arusha
Steven_arusha_ :
Sasa kaka mshahara wetu utukosea sana nilitaka ninunuwe tiket yakuja kukusaport lkn umetukosea sana
2026-11-05 09:16:37
1
lizyheroine
Lizzy Heroine :
Laki tatu wap mbona tunalipwa laki 😳
2026-11-05 08:37:35
4
nelyz041
Light :
Me Hata hiyo Hennessy badoo 😭😭😭
2026-11-05 15:08:04
1
maswi343
maswi1997@ :
tusaidie kitafta kazi basi
2026-11-05 07:54:07
1
son_uhtred
🤏🏾S0Π_Uhtred💥💥 :
na sis wa60,0000 tupe kasoro zetu kaka
2026-11-05 12:13:33
1
ibrahimgabriel96
Ibrahim Gabriel :
m nalipwa laki mojaa lakini boss ata kama ulichelwa kupokea cm zake anakata naondoka na 85000
2026-11-05 11:48:06
1
diana506309
Diana :
si bola hennes kuna m2 analipwa laki 1 na anawahi balaa kazn😅
2026-11-05 10:39:47
1
helena.mligo6
helena mligo :
na sss wa laki
2026-11-06 14:57:09
0
ethad154
ethad :
akikua ataelewa tuu 300 ni hela
2026-11-05 12:12:02
1
hizoowauraaa
#Auraaa#xpop4 Jr.. :
hahahahhahaha[Laugh approved]
2026-11-05 08:40:56
0
user5609398787586
Mamen :
ni wap uko wanalipw laki 3 me nalipwa elfu 70
2026-11-05 12:52:04
1
archkeelsmgerumane
Arch Keels Mgerumane :
kijina wangu akiondoka nakufunga
2026-11-05 16:31:03
0
rosey_rjtz
ROSEY_(RJ)🇹🇿 :
jamaani 😂😂
2026-11-05 13:40:12
0
sweetg818
sweet g :
elf 20 ya kitimoto kaz imeisha au unasemaje🤣🤣🤣
2026-11-05 14:33:19
0
getrudamwambatz
madam G collection 👠👗💄👜 :
Me nalipwa jaguar master c bora huyo anaelipwa Heness🤣🤣🤣
2026-11-05 18:40:38
0
kani_media
kanivah📿 :
😂😂😂😂😂 Wanetu mnapambania beer
2026-11-05 10:25:18
0
faithmrema0
𝔈𝔪𝔭𝔢𝔯𝔢 𝔐𝔯𝔢𝔪𝔞 :
Me 250 😂
2026-11-05 09:56:47
0
p.wa.black8
p wa black :
yaani lbda laki 3 kazi iwe na posho kwa sku walau 15
2026-11-05 12:12:26
0
haruni.msafiri
Haruni Msafiri :
😁😁😁😁
2026-11-05 13:20:33
0
zena.haule4
zuru hotel :
mbona umetuwenga jaman mm nachukiwa
2026-11-06 17:19:03
0
hiliwi.family
Hiliwi 🦋family ❤️ :
Je wa laki moja
2026-11-05 10:01:01
0
geraldmoses669
Gerald :
2026-11-05 07:42:46
0
To see more videos from user @katango79comedian, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About