wangu ukimwambia tuongee anakwambia ongea haraka haraka afu mda huo yupo bz zake na sm🥲🥲
2026-11-05 10:06:17
8
Salhat love :
wangu ukimwambia babe naomba tuzungumze ananijibu yeye hapend vikao unaamua tu kukaa kimya na huna tena cha kuongea
2026-11-05 10:43:57
4
Miss Serenity💫💎 :
Mi wangu tukianza kuongea kwa Aman tumaishia kugombana nyie limwanaume linanuna ndo maelewano hayapo ten 🙌🏻🙌🏻
2026-11-05 12:44:26
1
rebekakigoda :
Mungu wangu naonisaidie hekima yakuendelea kuitunza ndoa yangu 🙏🙏
2026-11-05 09:18:37
5
mumy naaa :
jamani mimi nitakufa usingizini
2026-11-05 13:32:44
1
Lina :
wangu hata hutuongei kisha tunalala kitanda kimoja
2026-11-05 10:50:31
2
hamisaabdulhamid5 :
mi nambiwa cm inazuia nini ongea nakusikia
2026-11-05 13:10:25
1
Miry Lyker :
huyu wangu anaesema nakuckiliza huku kaxhika cm anafanya yake
2026-11-05 14:20:25
0
Anie :
mm kaniambia niache kufatilia maisha ya watu 😅😅
2026-11-05 13:05:25
0
zureifaty kp :
kwer mama🥰🥰🥰🥰
2026-11-05 13:25:00
0
winifrida robert :
yani mama wewe sijui umejuaje lama niliamhiwa naongea pumba wakati hizo mpumba na mimi nilikuwà naona nimejitahidi kuongea Leo naliA mtu ananijibu hovuo jamani nilojisikia vibaya mpaka Leo sisemagi kitu akiniuliza kitu nasema tu sawa mana naogopa kusema na kujibiwa zarau
2026-11-05 12:57:45
0
winfrida magomba :
wangu jana nilikuwa namuonyesha kitu akaniambia nisimuonyeshe upumbavu wakat hata nilichokuwa namuonyesha hajakiona jaman mungu atusaidie
2026-11-05 10:42:09
1
Godlisten :
nakubali broo
2026-11-05 11:50:50
0
🇷🇼Keza💞 :
kweli kbsa
2026-11-05 09:54:05
0
kidoty og :
jmn
2026-11-05 10:38:43
0
merrygaitan :
2026-11-05 10:36:01
0
S🐬 :
Akishika simu naingia kulala ☑️done
2026-11-05 09:40:44
1
Jacqueline Werles :
Hivi hii tabia ya wanaume kuwa bizy na cm tuanze kuwanyanganya zaman wazee wetu walikuwa bizy na radio saiv hata uulize taarifa ya habar wamesema nini hawajui tv iko on yeye yuko biz tena wanacheza magemu tu
2026-11-05 12:44:23
0
Bi Aisha Abdallah :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-05 09:14:57
0
To see more videos from user @kalungu_therapist, please go to the Tikwm
homepage.