Hiyo 11m nunua mbuzi 130 kwa 80,000 kwa kila mbuzi! Katika soko nzuri!
Hao mbuzi kwa Mwaka watazaa mara mbili mara miaka 3 utakuwa wapi?
Kuna gharama za kuchunga Na kutibu.
2026-11-06 04:32:35
49
Elieza Richard :
inalipa endapo uliempa mkataba akakukulipa mwaka Mmoja akiuke mkataba umnyang'anye umpe mwingine tena mkataba wa miaka miwili na nusu tena 😂😂😂
2026-11-15 20:05:01
1
🄶🅄🅁🄰 :
Bajaji inafaida jambo kuu tu nikumtanguliza mungu maan biashara y usfirishajii duuh🙌
2026-11-05 09:36:23
63
Mamboma :
Bajaji milini 11 ni ukichaa bora ninunuwe pikipiki 4 nitowe mikataba kwa miezi 15 kila pikipiki
2026-11-05 10:14:15
22
hussain hajj :
Baba angu alinambia ili uione faida ya Bajaji labda uindeshe mwenywe😹
2026-11-07 16:35:10
19
Mac._lewis :
Odds mbili tu kwisha
2026-11-14 09:34:20
2
Hammy🚀 :
Milioni kumi na moja nunua gari weka gas piga kazii.. bolt
2026-11-06 18:48:59
6
maj_90 :
hahaha hio milioni 11 kwa miaka mitatu ukigawanya unapata shingapi ??
2026-11-06 15:04:29
5
peter john :
kwa uzofu wangu izo plan na matarajio ningumu san kufikiwa changamoto kubwa derva saiii kumpata dereva sahii ningumu kuliko kuipata iyo ela ya kununulia bajaji
2026-11-05 16:04:56
8
Nailah david :
Biashara ukihadithiwa ni rahisi san😁
2026-11-06 08:34:28
6
Tristan :
moja kati ya biashara ya kitapel n iyo mil 11 n pesa nyng kwa kitega uchumi chenye risk kubwa ivo[Tears of joy]
2026-11-05 13:57:53
7
@presd_2050 :
bima? service vyote hivo havipo alafu hakuna anaekubali mkataba 25k kwa miezi hio