@akilikajoro:

Bili💰Akili💸kajoro🗞️
Bili💰Akili💸kajoro🗞️
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 08:37:16 GMT
89977
2266
66
131

Music

Download

Comments

user385637783992
user385637783042 :
baba levo kazaaa
2026-11-05 11:59:09
1
dullahbayern
bayern :
kwa hiyo ujenzi wa uwanja ni viti
2026-11-05 13:37:24
6
kelvinponera3
simba :
BABA LEVEL NI NEXT LEVEL
2026-11-05 19:23:57
2
homeofthebest
Rocky Interior :
na kwa kiingilio Cha 20,000 kwa kiti kitalipiwa mara 550,000 tu Hela imerudi 😂😂 miaka 1500 dah
2026-11-05 11:32:17
14
enna_luxe
enna_fashion :
Unisamehe sana Baba levo ktk mtu nlikua sina uhakika nae kwenye kampeni ni wewe ila sasaiv wewe ni namba moja nina imani na wewe akili ipo ya kutosha
2026-11-05 14:34:00
14
sergi_simba
Sergi🫰🏿Simba :
Lakini bana iyo 338B iko correct coz ata kiwanja cha kenya kimegharim 900+B ikiwa ni mara tatu ya budget ya hicho charge ndo ukapiga Arusha😎
2026-11-05 14:36:10
2
realspotless1
It’s Williams🧌 :
Ani huy ana logic kuliko wazir mwenye dhaman
2026-11-05 11:06:52
13
sele.847
sele 8 :
ulikuwaga wapi jamani selikali yatu ya 🇹🇿 ikuchunguze vizuli dieni a yako itasoma mambele sio hapa ila off kwangu 2030 unatupambania tusio pambanika 🤲🤲
2026-11-05 13:39:27
8
user5075868271422
HB🇹🇿😘 :
Tz upigaji mwingi sana sisi kufanikiwa mpaka dunia ifike mwisho
2026-11-05 19:15:10
1
noel31293
noel :
Atariii Babaa nilikuaga skuelew sahv nakuelewaa
2026-11-05 14:27:12
3
kasabago7
AKM :
UNASEMEA KENYA TUPO TANZANIA😂....THAMAN YA PESA YA KENYA VP
2026-11-05 16:32:04
2
fubu95
fubu95 :
umesahau na cha ndoa😂😂
2026-11-05 14:51:28
2
user5552468727037
user5552468727037 :
ametisha
2026-11-05 11:45:13
2
mwanyulaissa
mwanyulaissa :
tume pigwa
2026-11-05 11:42:30
2
waroho02
Maskini :
Mwakani tena kwa uhakika
2026-11-05 12:54:35
2
charles.magori4
Charles Magori :
linex na balevo niwashikaji ila fact sana baba levo
2026-11-05 11:33:54
2
kicha95
jacq :
dadeqqqq😂😂😂😂
2026-11-05 12:47:28
1
mcbalobizness
Mc Balo Bizness :
Sahh kabxa
2026-11-05 13:54:18
1
seifu1995
seifu1995 :
dar
2026-11-05 11:20:24
1
cassy1gamer
Cassy1Gamer :
Dah🤣
2026-11-05 14:25:57
0
westephano.nassib
ayoub op📖 :
2026-11-05 14:07:35
0
barakajuma715
baraka juma :
tusemeeni😂😂😂
2026-11-05 14:43:54
0
paulmriri1
paulmriri :
hapo amekosea ni million 11 sio billion 11
2026-11-05 15:55:11
0
mrpj059
Mr pj :
hapa pesa iliyopigwa inavoonesha ni ndogo sana sema tu wahusika wameshindwa kutetea hoja kwa kifupi ni kwamba baada ya kuona fungu la kwanza la Hela ilipoisha je ni nani aliyeidhinisha na kusaini Hela ingine bila kuhakiki kwanza Ile iliyotumika mwanzo kama ilitumika ipasavyo?
2026-11-05 18:57:34
0
oswaldlodga
oswaldlodga :
Yani kwa Tanzania yetu wale wabunge ambao elimu ni ndogo capacity ya ufkiri na kutoa hoja ni kubwa kuliko wasomi @officialbabalevo
2026-11-05 18:54:07
1
To see more videos from user @akilikajoro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About