This is me asubuhi
I was attending an event in Embu alafu sijui nafaa kushukia wapi
eloi eloi nimeteseka .. imebidi nishuke nichukue nduthi[Tears of joy]😂
2026-11-06 10:46:23
1
hilda :
niliuliza makanga akaanza kushout gari yote ikajua nimepitishwa
2026-11-05 11:36:06
683
🩺𝒦𝑒𝓃𝓏𝒾𝐸💉🧑🔬 :
😂Mimi hukaa apo kwa mlango na makanga ...namkumbusha Kila saa 😂😂😂