kishiki n mumanga sio msomali so no matter 🙏 tribe yake n sheikh wa ummmah ya muslim
2026-11-08 20:38:29
1
ummy :
yarab nakuomba na me ck moja na me unikutanishe na shekh kishk inshallah
2026-11-05 17:26:17
70
Mjukuu wa babu :
Kipenzi cha waislam dunianiii
2026-11-05 15:00:04
42
zawad juma omary :
wapi hy jamani.alla azidi kukuwwke shehe
2026-11-05 11:39:57
38
fahimaAzziz :
yaa rabb nijaalie mtoto kutoka kwenye tumbo langu akija duniani awe wa kusifika kwa mazuri kama uyu shekh kishki😢 inshaallah
2026-11-06 01:00:28
16
Ismail mbwambo :
kama nikweli anafanya daawa kwaajil ya Allah azungumzie tauhidi.najihad .afundishe watu maana halis ya laailah ila.allah kama nikweli yuk kwaajil ya allah
😭😭😭🙏🙏🥰🥰 lnsha Allah siku mmoja Allah atani kutanisha nahuyo shek kama sihapa duniani basi yaarabbi nijaalie tukutanishe nae peponi maa sayyedinaa Muhammad swl alehi 🙏waxslm😭
2026-11-05 15:45:27
14
Madega 45 :
Allah akbar
2026-11-09 09:00:03
1
mohity bahiliani :
mashaallah allah akuhifadhi
2026-11-05 11:34:08
12
thanau mbwela :
mungu akubaxhilie pepo miongon walio.bashiliwa 2seme inxhaallah