@simbascofficial: MCHEZAJI BORA WA MWEZI.

Simba Sports Club
Simba Sports Club
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 09:51:04 GMT
70384
7593
110
108

Music

Download

Comments

hijaby111
Hijaby🌸 :
Amefaint na akampigia mikato ile,Djigui Diara ametazama tu,uso na macho akamtisha ka anaenda kulia akadesh kushoto,akaimaliza kwenye nyavu,kamuacha beki mmoja licha ya kwamba Bacca ana nguvu sana lakini karamba nyasi Djigui Diara,mbele yake ni Elie Mpanzu Kibisawala,amemwambia soma namba io ni 34 hatari,amedesh kulia,akaenda kushoto kwa guu la kushoto akaiweka kwenye net,Elie Mpanzu Kibisawala,amekua akitengeneza saaaaaaaaaaana,sasa anabonda🦁♥️
2026-11-05 10:32:26
51
sarah.mwafilombe
Sarah Mwafilombe :
tafadhali hii ipostiwe kila usku watu wakitulia
2026-11-05 10:40:27
28
bolloyoung.jax66
Bolloyoung6😎 :
ikifika 10k mniite
2026-11-05 09:58:27
11
gikado99
JASUSI🌎 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-05 10:55:26
0
ayoubkhan.j
Ayoub khan :
admin tunaomba hii uipost kila baada ya siku tatu
2026-11-05 10:25:11
2
vacky3026
vacky :
Mpanzuuuuu😂😂😂
2026-11-05 10:29:52
12
aidan.john2
D 666 :
simbq unstoppable
2026-11-05 12:06:49
0
elon_succa
Elly vex💵 :
ukimsikiliza baraka mpenj Hadi unasisismk ahapo Bado ajaongea james
2026-11-05 11:21:18
5
hd718102
HD :
Admin, ikiwezekan tuwekee highlight ya mashuti yote ya mchezaj wetu bora kweny hii mech
2026-11-05 10:43:32
5
kevinho_it47
☣K͙e͙v͙i͙n͙h͙o͙⚽ :
Mfalme wa nyika Simba sc🔥🔥🙌🙌. Elie mpanzu🔥🔥🔥
2026-11-05 10:00:16
7
zenasaid935
Zena Said :
Namejikuta napiga kigeregere kama imetokea leo hivi
2026-11-05 11:34:05
3
queen.anna304
queen Anna 🥰😘 :
amestahili Wala sio kwa bahat mbayaaa
2026-11-05 10:18:31
4
realhenry26
Enjaga Ma Hi🩶 :
[Big LOL]
2026-11-05 09:55:45
0
royalfamily453.com09
sunbae🇲🇼🥇 :
like giant
2026-11-05 09:53:19
4
cast66_
TRENT 66 :
2026-11-05 09:53:05
5
azizajuma733
Queens of bandit :
saut lang lili kauka kwa kwel😘😘😘😘
2026-11-05 11:42:54
1
andybrezzy28
andybrezzy :
wilezi mzima tuna post hili goli🥰🥰💯
2026-11-05 11:12:59
1
user5315030404729
zombi jr078 :
simba bingwa
2026-11-05 11:07:36
1
koma.boy6
koma boy :
mpanzu mchezaji bora wa mwenzi October 💯💯💯
2026-11-05 09:55:34
2
heropositive
HERO POSITIVE :
Au Simba ndo Yanga 😁😁
2026-11-05 10:58:00
1
johnumeme918
johnumeme918 :
2026-11-05 10:00:11
2
billyscot_
BillyScot_ :
Mchezaji mwenye mapenzi ya timu yao akawafanya kitu mbayaaaaa
2026-11-05 10:34:32
2
debora.agustino4
D :
nguvu moja huyo baka alivo kunja uso wake mmeona vizuri jamani 🥰😂😂😂😂
2026-11-05 10:47:14
1
swaiofficial12
swaiofficial12👑 :
Soma namba hio 34 hatari mamaeee😂😂😂
2026-11-05 09:55:49
1
msudan93
Msudany 🇷🇼🇧🇮🇹🇿🇰🇪🇺🇬 :
yaani hadi waseme
2026-11-05 10:46:14
1
To see more videos from user @simbascofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About