@mkakamweus2: Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa, Tanzania, Celestine Luhende kasema, mwanandoa kupekua simu ya mwenza wake atapigwa faini hadi Tsh milioni 20 pamoja na #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights
mkakamweusi2
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 09:51:59 GMT
Music
Download
Comments
Laurent Masanja :
analipa NANi
2026-11-05 09:57:41
0
Maria Yuge :
Ipite tu
2026-11-05 10:00:50
0
belo charls :
na askari akikamata mtu bila kosa faini milioni 30 au vp
2026-11-05 13:45:07
1
Jenipher Nyanda :
Jana tu nimepekua
2026-11-05 10:02:47
0
frank msafwa kikosi :
kumeanza kuchangamka
2026-11-05 11:29:22
1
t@tu :
wekeni milioni 40 maana mimi ni pamoja nakuivunja
2026-11-05 17:41:04
1
khadij saiboko :
ah ipite tuu kwakwel
2026-11-05 10:19:26
1
الحمدلله 🌹 :
hiyo mbon kidog 🤣🤣milion kumi je😂
2026-11-05 11:40:37
1
Rais wa JenZ mo29 :
Mi nategemea Hii nchi palipo toboka pameanza kuziba kumbe panaongezeka naombeni miwani ya macho jamani
2026-11-05 19:57:58
0
SHIZZO ✨☘️ :
wamekisha😁
2026-11-05 14:48:17
0
mary :
mimi nilipekuwa mambi niliyoyakuta mungu ndoanaejua nilimaliza mwezi mzima siongei nae kipekua tutapekuwa uwezi ingilia ndoa za watu
2026-11-05 17:44:17
0
Salome Chacha :
🤣🤣🤣🤣 me mbona hiyo faini nitatoa kila siku jamani yaani nikitoka mimi anaingia mme wangu 🤣🤣🤣🤣badilisheni adhabu jamani
2026-11-05 20:36:16
0
John Ocean :
Kama sijatoa mahari Sawa ila kama nilikutolea mahari kulinda ndoa ni jukum langu bc hata Mali bc tusigawane kilam2 awe na zaje
2026-11-06 09:06:43
0
miriam jocktan :
sanduku la maoni nikwaajili ya vitu vya maana2
2026-11-05 20:25:31
0
MICHAEL BANA :
Kila mwenye zamana yakuongea, kesho ataenda kujibu mbele zamungu,
2026-11-05 21:10:32
0
E E 16689 :
hata Libia walikua wanaolewa na serikali ila haikuwapangia mambo ya ndoa zao.
2026-11-05 17:20:41
0
Siwe Tz :
serekali fanyeni mabo yakusaidia taifa siyo mabo ya mahusiyano
2026-11-05 11:38:09
1
Ramadhani Mohamedi :
nitakua tajiri mda si mrefu maana atoboi
2026-11-05 15:33:16
0
sophia :
mimi yangu anashika asubuhi mpaka usiku
2026-11-05 16:30:49
0
fikira Michael :
akuna ushindwe
2026-11-05 13:28:58
1
Tabitha :
🤣🤣🤣ngoja nianze kuzitafta izo milioni 😆😆😆 maana Sheria ishakuwa ngumu
2026-11-06 12:46:51
0
Mariam Koroso :
mmh
2026-11-06 17:40:52
0
Dismas Mloge :
ipite iyooo
2026-11-05 13:49:53
0
frank comedy 7 :
hapo kuna mamb[Victory]
2026-11-05 13:53:25
0
mwanahawabakar :
nawanao pita mwendo kas je
2026-11-05 10:01:07
0
To see more videos from user @mkakamweus2, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.