weeeeee nmetetemeka jmn nilikua uchi ndan nikavuta shuka nikakimbia nje nyieee hat kam unaish pekeak kun umuhim wa kuvaa nguo😂😂😂
2026-11-05 11:52:21
217
maàm :
huku kisesa lilifika jamani au ni mwanza tu
2026-11-05 11:48:58
17
@salomeyona :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ila [Tears of joy]
2026-11-05 12:48:52
0
Jira Fine Beauty :
au mimi sipo mwanza[Tears of joy][Tears of joy] mbona sijasikia
2026-11-05 12:34:21
32
VIVACIOUS_ROSE :
fanya Kama unanona Lumumba ilivokuwa ni patashika nguo kuchanikaa😅😅 nashtukia tuu nimezungukwa na watu
2026-11-05 12:54:35
0
anthia anthony :
mi nimekaa tu ndani nikaisi labda mimi ndo nashida kumbe ilikuwa tetemeko jomn mim mungu uyu ananiokoaga na mengi[Pray]
2026-11-05 11:36:12
54
Hilda Mjenga :
mimi nilidhani shoti ya umeme, nikakimbilia kuzima main stwich.... limeisha ndo akili inang'amua,
2026-11-05 11:46:28
49
jastbecause me :
mi nilijua jirani anatoboa ukuta😂😂😂
2026-11-05 13:27:13
0
nyambori.hardware.mwanza :
Nilizani ni uku tu Nyashishi [Teary eyed][Teary eyed] ata mim nilikua dukani hapa nimeogopa vibaya mnoo nikakimbilia njeee[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-05 12:25:17
0
khalidmaspark :
imenikuta nipo darasani nafundisha nikastuka nikawambia vijana huu mtetemo sio wakawaida tokeni darasani wote nje, wengine wakawa hawatak kutoka ase hatakama mahakam imekataza fimbo imebidi nitumie tuu, maana lingekua kubwa maafa yangetokea saiv vingekua vilio ila baada ya fimbo wote wakaenda safe place kwenye uwazi🙌
2026-11-05 12:15:19
29
Janette :
Nom San😔😔😔🙆🏼♂️🙆🏼♂️
2026-11-05 14:39:11
0
PrincessAzzathy Swalehe :
hapo ndo utajua mali na fedha sio kila kitu ktk maisha
Tumshukuru Mungu kwa uhai na afya njema
2026-11-05 12:12:20
20
milesacollection :
shinyanga limepita,nimekimbia nje htr
2026-11-05 13:04:31
5
Deticia :
Me nipo mwanza na sijasikia kitu jaman
2026-11-05 14:02:09
5
Gian mom💕💕 :
jamen mung ndiye anaejua hatima yetu tuombe Sana nimebaki kushangaa Tu Kwa siku ya leo
2026-11-05 10:48:28
19
Baby.G :
poleni
2026-11-05 14:12:51
0
phina :
Mimi hapa mapigo ya mbio yameenda moyo
2026-11-05 11:50:54
7
JESUS STORE ME :
Leo nimeona watu wa bank wanavyokimbia 😂😂😂 ila ila mwanza
2026-11-05 13:11:33
8
Valentina Samwel :
Mungu atusaidie sis tulio jenga juu ya mawe viwanja vyetu visije dondoka tukakosa maka zi 😂😂😂
2026-11-05 12:18:16
4
Ngoye Joseph :
mm nilijua Kuna gari kubwa limepita kwa Kasi huko bara baran kwasababu naish karbu na road 😃
2026-11-05 12:34:36
7
Willey@Europe🇾🇪🇹🇿 :
tuliokimbilia nje tujuane🤣🤣
2026-11-05 12:14:04
1
Mom girls :
Wee
2026-11-05 12:15:14
0
Monicca :
Polen jamn
2026-11-05 14:49:26
0
N💥💮💡 :
Weeee kwa ulemshindo mi nimejikuta nje ya get
2026-11-05 13:11:04
0
Mss Firdaus🦋🦋🦋 :
mbona Mimi sijashituka au Mimi ni gaidi
2026-11-05 16:34:18
0
To see more videos from user @amdaughter01, please go to the Tikwm
homepage.