kwakwelii sijui kama nitakuja kumsaliti mume wangu Ewe mwenyenzi mungu nisaidiee nisiwezi kumfanyia hivyo
2026-11-05 20:27:37
0
khairun'nisaa :
subhaanallah ujumbe mzito. Allah atupe subra n kinai.
2026-11-05 12:10:29
0
madamRee :
Subhanallah
2026-11-05 18:14:35
0
user292597481065 :
subhana Allah
2026-11-05 19:15:39
0
الأمة العفاف💞 :
kweli,lkn tatizo wanaume ndy viongoz wa kusalit,ndy maana hata wengine tunaogopa kuolewa kabisaaa,
2026-11-05 11:07:55
1
الأمة العفاف💞 :
tatizo pia huyu mwanaume kosa sio la mwanamke,kosa ni lake mwanaume,kwa maana kitu kinachotuponza sasa ni watu wanaoa kinyume na sifa alizotuambia mtume
2026-11-05 11:12:25
2
الأمة العفاف💞 :
mwanamke anaweza kukaa ndan ya nyumba yake mwezi bila kutoka lkn mwanaume hawezi,hata kama mahitaji yote yapo lkn anataman nje tuu sijui kuna nini anafata
2026-11-05 11:09:11
0
الأمة العفاف💞 :
ukweli ni kwamba wanaume wamezidi ,kutoa pesa zao kiharamu ndy maana wanawake wanazitaka,na kama tunavyojua fitna ya ummat muhammad sio mwanamke bali ni pesaa
2026-11-05 11:10:49
1
الأمة العفاف💞 :
muwaulizen wanaume waliyo oa kwa kufata sifa alizosema mtume ,,wanahisi wako peponi kabla ya pepo kubwa🥰🥰🥰🥰
2026-11-05 11:15:10
0
To see more videos from user @alfaqeerhabibawadh, please go to the Tikwm
homepage.