Songa mbele ni jina la nguvu sana,na ndivyo Mungu ๐ anataka tusonge mbele,utajuaje Mungu ameandaa viti zao mbinguni, uzuri Mungu anahesabu matendo mazuri ama mabaya mpaka vizazi via 4,it means Kwa wale watu majina Yao yameandikwa mbinguni pia majina na vizazi vyako vimeandikwa mbinguni,ni sawa kusema mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA ๐คฒ, BWANA ๐คฒ utukumbuke na vizazi vyetu
2026-11-06 11:54:58
0
Loveness20mwit@ :
jamn mungu awabariki san
2026-11-06 04:14:05
1
jeremia ezekiely :
jina la wimbo naomba
2026-11-06 09:45:36
0
zurpha ๐ :
amina jaman nyimbo nzur
2026-11-06 12:24:58
0
Cyp :
mungu awabariki ssna
2026-11-06 08:44:38
0
user5707037956138 :
Cabinda Angola gostei muito obrigado
2026-11-06 11:58:20
0
Elc Mst :
Aminaa
2026-11-06 10:42:27
0
Patronize Karume :
kaka naomba makambi mje morogoro mjini kihonda sda choir
2026-11-05 17:55:29
0
Rich.Makweba jr :
wimbo wa Nipe zawadi yangu na ule wa simba wa yuda aisee Mungu ana watu duniani.
2026-11-05 21:29:03
1
Pendo Rm :
amina
2026-11-06 12:36:58
0
Stephano Medard :
Asanten sana watu wa mungu ndugu zangu wa kiroho huo wimbo na upenda sana
2026-11-06 09:07:55
0
Phina Samwel :
Nawqpenda
2026-11-06 08:50:52
0
happy bwire :
Hakika
2026-11-06 08:42:58
0
Elizabeth Kibacha :
ameni
2026-11-06 07:13:24
0
Veronica joseph :
amen mbarikiwe
2026-11-05 11:26:15
0
To see more videos from user @fessyjr8, please go to the Tikwm
homepage.