@irene_uwoya:

Irene uwoya 🦋
Irene uwoya 🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 11:40:47 GMT
349328
34731
367
118

Music

Download

Comments

pretty_cia64
pretty_cia64 :
Mtoto wa ndoa moja takatifu ❤️
2026-11-05 12:56:58
253
carolyne.mmbando
Carolyne Mmbando :
Yan wewe ulimtesa nakumuumiza sana uyu baba
2026-11-05 12:31:44
49
lilianemosse.001
vévé❤️ :
kumbe aliolewa kabsa♥️
2026-11-05 12:52:22
201
officially.rose
officially Rosel :
yaan huyu dogo angekuwepo baba angekuwa mbali sana, ila bigapu kwako Irene kwa malezi
2026-11-05 12:15:15
442
farajaelizabeth
Faraja Elizabeth :
yaani mtoto wa Irene Uwoya ni mzuri hadi raha👌👌👌👌
2026-11-05 13:24:01
136
veronickmsigwagmail.com
ve__@💃💃 :
mumewe aliumwa nn jamn
2026-11-05 18:31:55
1
sheyloveofficio
SHEY CHOCOLATE 🍫 🦋🦋🦋🌺 :
Nani anasema mtoto wa iren mbaya 😂acheni roho mbaya khaaa mtoto mashalah hendsome Mungu amkuze vyema
2026-11-05 14:41:59
16
user142080830732
MOM G :
Kukosa baba nako umri mdg ni inaumiza bora ata km hakufatilii ila awe hai 😭😭
2026-11-05 12:06:50
175
racher023
Rachel :
good boy🥰🥰🥰
2026-11-05 23:50:59
0
stamili.mrisho
Stamili Mrisho :
mmii shahidi baba yako alimpenda sana mama yako muombehe sana baba yako.
2026-11-05 12:12:35
17
christina.patrice91
Christina Patrice :
jamani mimi nilikuwa simjui marehem mume wake apumzike kwa amani
2026-11-05 12:37:09
14
fahymahfeisaly932
fahymah feisaly :
nikwambie mungu kakupa mtt mzuli sn
2026-11-05 12:42:31
10
.babra7
🥰 babra❤️ :
Unamlea mwano vzr mwenyew bila sapoti yamtu yeyoye alaf wanatokea wachaw wanaanza kukusem vby bila hay😳😳😳
2026-11-05 16:22:44
6
user2396857126761
hellen@ :
nakukubali Dada angu huwa nafatilia jins unavyomrea na kumpenda mtoto wako huwa nakutamani sana
2026-11-05 12:12:44
11
angela.benedict5
angela benedict :
huyu mtoto simjui ila anaonekana ni mstarabuu. Mungu akutunze mtoto mzuri
2026-11-05 17:52:39
5
user1926507486557
user1926507486557 :
naomb mtaj
2026-11-05 11:47:19
16
etoilefilante844
✨étoile filante ✨ :
Oprah my Wife, oprah my Wife , je peux pas oublier ce film
2026-11-05 14:06:18
2
user2881614947594
Momee :
mtoto lips kama za mama
2026-11-05 12:18:31
5
annastaziafausti71
Annastazia Faustine :
unamtoto mzuri kwer bonge la handsam
2026-11-05 13:23:27
7
user8445945285548
NEY QEEN :
mm nakushauri uwoya watt wengn umezaa mtt mzur jmn
2026-11-05 12:35:19
6
jolienininahazwe
jolie :
Unakubuka mbali my dear 😭😭
2026-11-05 17:59:22
2
marianaphilipo782
[email protected] :
kafanana na mama ake🥰
2026-11-05 14:36:05
4
user7875163951248
gloria :
dada irene naomba mtaji dadaang
2026-11-05 13:14:08
2
annajackson938
Anna Jackson93 :
dada naomba mtaji
2026-11-05 16:54:28
0
irenemoris11
irenemoris842 :
dada Irene mwanao ana jicho zurii sanaa yaan
2026-11-05 16:35:23
3
To see more videos from user @irene_uwoya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About