@tosamagangasec_of: Unajua nini kuhusu dereva huyu wa miaka mingi tosamaganga Secondary #iringa #tosamagangasec_official #tanzaniantiktok🇹🇿 #unicollegeshow #fypシ゚viral
chuma hii ilitubeba 2009 kwenda umiseta iringa mjini
2026-11-05 17:33:08
7
efraudmasenya :
Namkumbuka mzee Mlunza mwaka 1990-1996 nikiwa Tosamaganga
2026-11-05 17:32:27
6
farajibuteta :
mm dereva alikuwa anatupeleka kalenga na hilo lori
2026-11-05 12:24:23
8
Mariam Alexander :
😂😂😂Ila wanafunzi na disco la Iringa girls 😂😂😂😂
2026-11-05 12:35:36
4
African cute😍 :
Babu yangu mm,maisha yangu🙏😘tunakuombea uishi miaka mingi🙏🙏🙏San Dunian
2026-11-05 19:35:08
2
Joanita Ngaiza :
mzee Mlunza nakukumbuka sana miaka ya 80 nilikuwa Lyalamo. Tumechota sana maji huko Lupalama, tumepanda lift za hilo gari, tumesoma na wanao akina Tibeli, tumetembelea na kucheza nyumbani kwako kule nyuma kuelekea kwa mkuu wa shule mzee Mpogole. Hongera sana kwa utumishi.
2026-11-05 13:35:26
2
Michael :
Daah mzee Mungu akulinde
2026-11-05 15:42:57
2
Nyoni chonapi :
waituwai
2026-11-05 12:33:56
0
Jastin Nyoni :
namba AAA
2026-11-05 12:20:12
1
Luck :
namkumbuka sana pia alikuwa ni ndugu wa rafiki yangu nilikuwa hapo 201 to 2014