Siku nikipigiwa mimi sauti ikiwa tofauti na yako sitakubali
2026-11-05 16:14:31
10
truda🥀 :
my dear husband see thisss
2026-11-05 18:40:37
0
avelin191 :
wamebKi wachache waooo Waooo 🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
2026-11-05 15:55:03
6
V❤️💋💫 :
Sijui na mimi nikumbe namba ya mualifu wangu nitext mitambo
2026-11-05 18:10:01
2
dangasuu :
Hii saut mbona kama baba angu 😳😳😳
2026-11-05 17:40:15
1
Nusra christelle :
Mume na nusu jamani ❤️❤️❤️❤️
2026-11-05 16:47:59
6
felistermarcely :
Kwani mimi nilipata nani???😂😂😂
2026-11-05 18:57:44
0
nasma banda :
uyo ndio mume 🥰🥰
2026-11-05 17:20:25
2
Baby girl 233💕 :
Huyu ndo namtak
2026-11-05 18:30:37
1
𝙶𝚛𝚊𝚌𝚎 𝚌𝚢𝚙𝚛𝚒𝚊𝚗ᢉ𐭩 :
Madam grace❤️🤣
2026-11-05 17:02:02
2
jey 🍓🍓 :
nimeipenda sauti ya muomba ruhusa dah unasauti nzur kipenzi 🥰🥰
2026-11-05 18:26:58
1
hancymbughuni :
ni wap najlpia mwenywe ntaatoa taarifa naenda kwenye event😅😅
2026-11-05 17:40:33
1
Dayadizzy🥰😎 :
Baba Kama huyuuuu jamni 😭😭😭😭
2026-11-05 18:30:40
1
HAILES ❀ :
ndoa ni hii sasa
2026-11-05 17:18:49
2
lizzyglam08 :
Naomba yule mwingine asikie mwanaume mwenzie huku anavyojibu yani uyo kaka Mungu ambariki sana dada Muombee sana uyu baba jamani yooooh Mume umepata walahi mashallah🥰🥰🥰
2026-11-05 18:24:57
1
Grace mama sita :
huyu sasa kama wangu🥰
2026-11-05 17:05:11
1
Stephania Augustino :
mume wangu angekupa jibu hilo 😂😂😂 tena huyu analipa na tiketi Kabisa nimeipenda hiyo❤️
2026-11-05 14:00:12
0
🐳Dee❤️ :
Mungu nipe kama huyu jmn[Heartwarming]
2026-11-05 17:06:46
1
satyenyi :
mshaona content sasa
2026-11-05 17:02:53
0
mishi ❤️❤️ :
huyu anafanana na mume wangu
2026-11-05 18:40:27
0
IRENE ♒️ :
Sina mume ila pale mungu atakapo nijaalia lia kua nae naomba mme ambae atanisikiliza na kunielewa 🙏🙏🤭
2026-11-05 18:50:32
0
helena💞💕💞 :
😂🙏 hapo kulipia baba WA mbinguni naomba kama uyu 🙏🥹
2026-11-05 18:51:26
0
Eunice :
Shem darling hana kipengele....Mungu amtunze kwa ajili ya madam Grace 🥰
2026-11-05 18:45:29
0
officially Nenny 🥰😘❣️ :
baba nilikuomba kama huyu 😌🙂🙂
2026-11-05 19:02:44
0
To see more videos from user @eliannalaizer31, please go to the Tikwm
homepage.