Nilishamshauri Mdg wangu hii na bado haikufaaaa Mungu km kuna dunia kuisha na kuanza upya basi naomba nisiwe Firstborn🙌🙌🙌
2026-11-05 20:29:12
1
Aqsa Juma :
kaka unaongelea familia ya aina gani?
2026-11-05 18:03:27
1
PAN AFRICAN ECO-TERRA MINERALS :
kumtunza mzazi siyo options , na wazazi hawachangiwi ila wanatunzwa.
2026-11-05 20:31:55
1
reneecutee :
ndug zangu hawa hawa au kuna wengne
2026-11-05 19:19:29
1
💃💃NINO👌 :
eee mungu nifundishe kunyamanza hii mbinu nimeshaitumia lakini wapi 😂
2026-11-05 19:36:34
0
Adellajohn :
kweli broo. tunaweka benk na ktk kibubu,mdogo mdogo ila mimi sasa ndo naonekana nna roho mbaya🤣. maana sina kipato cha maana ila nasimamia hela zisichezewe mpaka mama anatamanigi anipige vibao😂 ila ananipenda sababu hela inakujaga kuwasaidia wasipotegemea. so ni mdogo mdogo tu.
2026-11-05 19:56:11
0
Agatha Lema283 :
tulijaribu sasa hivi kila mtu hana hela
2026-11-05 20:07:46
0
fenaynah collection🛍️🎀 :
Wanasema hawana hela m nachoka jmn 😩
2026-11-05 18:21:44
0
luciana :
tunyamaze tu hakuna atakae elewa😭
2026-11-05 18:02:15
0
Budget_Gadgets_10 :
2026-11-05 12:55:13
0
Jennifer Fanuel :
nikweli kabisa kaka asante sana
2026-11-05 13:04:42
1
Kelvini Kimario :
hizi familia unaongea na ndugu mara moja Kwa mwaka au familia zipi mzee 🤣
2026-11-05 15:37:33
2
Budget_Gadgets_10 :
Wabongo hata ufanye nn hawatumi😂😂😂
2026-11-05 12:56:08
2
l.u.c.y :
Unaijua familia za uswahilini wewe😂😂😂
2026-11-05 13:09:50
1
MCHOCHEZI MOBILE :
😅😅😅😅
2026-11-05 13:02:34
0
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.