huyu dada ni wife material sema hakupata mtu sahihi
2026-11-05 14:45:52
295
Freedom🥰 :
uyo mwanaume ana miaka mingap?
2026-11-05 15:25:36
33
Halima yanga💚 :
Mwanaume akikuchukia anakuoa
2026-11-05 18:09:23
5
ryne🥰 :
Au ni kwel mwanaume akikuchukia anakuoa😂
2026-11-05 17:30:10
8
missjanny61 :
Ladies achane nizae katoto kamoja ndoa sio lazima si ndio???
2026-11-05 17:23:32
29
Sophia 😍store 🛍🛍 :
mungu naenda kuolewa mwezi huu ila kama niivyi mbona nitampiga yule msabato 😅
2026-11-05 14:27:52
47
kimdyner :
tafadhali naomba mtu mwenye ndoa nzr aje atutie moyo hapa
2026-11-05 15:23:32
39
sherryGlamTz1 :
Aiseee hyu dada n mpole🙌🙌anaomba ruhusa ya kila kitu aiseeee hajui vita hyuuu😅🙌🙌🙌🙌
2026-11-05 14:24:45
52
Miss Olii👩🦰💞 :
wale wenye mapenzi ya kweli tunapata majambazi Mungu tufanyiye wepesi😥😥🙏🙏🙏
2026-11-05 14:25:10
74
Atha❤️ :
yaan ukiolewa na mwaume afu akawa anawasilikiliza ndugu hamuwezi fika mbali mimi nina ushuhuda😁😁😁🥺🥺🥺🥺
2026-11-05 14:35:36
13
magreth lazaro :
kama mambo yenyew ndo haya bado nipo nipo kwanza
2026-11-05 15:10:30
6
h.msqure0 :
the way anahadisia bila kulia she is strong enough......🥰
2026-11-05 15:57:03
0
jennifermoses6928 :
huyu mdada ni mke mwema, mune amepoteza dhahabu atakuja kujutia. Mungu akusaidie upate mtu sahihi katika maisha yako ambaye mwanao atamuita baba na atawaheshimisha
2026-11-05 18:11:43
7
dreamz25🦋 :
Is that man oky mentally 🥺
2026-11-05 17:04:26
1
naicy :
yoooooh hawana urumaeee
2026-11-05 15:13:46
0
c*Anitha :
yaan uongeaji wake tu me namuamin,
2026-11-05 17:16:29
6
St01 :
next part plz
2026-11-05 16:37:22
0
Lukhe_Collection💰 :
Sijui kwann namuona huyu dada akifanikiwa vbaya mno, baraka nyingi
2026-11-05 17:07:09
12
Tee💕 :
Kazuri kenyewe alafu kapole 🥰
2026-11-05 14:35:15
15
Mis vivah :
kwan huwa mnawaonyesha wanaume zenu pesa yooh mm sinaga at Mia akhii
2026-11-05 14:27:36
28
halima :
Yan mm nimuonyesh mwanaume Hela labda aniloge[Tears of joy]
2026-11-05 14:28:59
14
tinabby🥰🥰 :
Yani uyu dada aliyo fanyiwa nilifanyiwa na Mimi Yani najua anavyo jisikia mungu amutie nguvu😭😭😭
2026-11-05 14:52:21
6
it's- melalin🍓🥰 :
🥺laki 5 yanguuu niazimeee jituu yan huyu dada alkua ana ule upeendoo wa ndanii upendo wa kwel🥰
2026-11-05 14:09:06
4
To see more videos from user @wallacemakata, please go to the Tikwm
homepage.