@kiutanzania_: Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala nchini Tanzania (KIUT) unasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wetu, Misoji Deus Mbinza, aliyekuwa akisoma mwaka wa kwanza wa Shahada ya Sheria (LLB). Misoji amefariki dunia leo, tarehe 5 Novemba 2026, jijini Dar es Salaam. Tunatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na jumuiya nzima ya KIUT kwa msiba huu mzito. ๐ฏ๏ธ Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina. Pumzika kwa amani, Misoji. Daima tutakukumbuka. ๐๏ธ #RIPMisoji #PumzikaKwaAmani #KIUT #KIUTFamily