@capt_komba_jr:

Capt Komba Jr
Capt Komba Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 13:44:59 GMT
23114
623
178
44

Music

Download

Comments

malley2jr
malley pgm :
hawana cha kukufanya maandamani ni haki kisheria sio uhaini
2026-11-05 21:39:11
9
user1652615186992
benny :
alimaanisha kama hakuna reform ni Bora tusifanye uchaguzi kabisa maana MGOMBEA wa CCM ndiye anachagua TUME ya uchaguzi
2026-11-05 17:30:38
7
lwizasunga
shaban TAJIRI wa KALIUA :
kwani Shelia ya nchi inasemaje mandamano sio hakii
2026-11-05 18:25:56
3
frankibrahimu
Frank Ibrahimu :
mwenyewe anakwambia akuna kosa la kuzuia uchaguzi
2026-11-05 17:55:06
4
edinamhando0
user35780877815680 :
hapo sikaomba tu wananchi Kwan ni kosa kuomba wananchi wake
2026-11-06 04:05:36
1
naimushah
Ali :
halafu watu wengine wanaona ameonewa
2026-11-06 05:50:30
1
lulemuebrania
lulemuebrania :
hapo umesikia kosa lipi ?
2026-11-06 09:14:39
2
maiko.alfred5
maiko alfred :
maandamano nihak
2026-11-06 03:29:40
0
mamy.hasby
salma dady💞 :
kwani maandamano ayaluusiwi jaman
2026-11-06 13:01:50
0
criticalthinker604
Critical Thinker :
Sasa kuzuia uchaguzi na kufanya maandamano ndio uhaini??
2026-11-06 07:59:36
0
augustinojovin1
Tino Junior 36 :
tumemsikia na hakuna kosa hapo, kama uchaguzi sio huru na wa haki kwa nini tusiuzuie?
2026-11-05 19:53:23
0
gwamaka77
gwamaka :
Maadui wengi Ila mungu akulinde lissu
2026-11-05 22:48:45
0
kazikwanza4
.... :
bora angeomba msamaha maana ushahidi huu tujenge tanzania yetu nayeye mkuu ni mwanashelia
2026-11-05 17:19:50
1
yusuphphilbety
[email protected] :
hilo sio kosa ndio maana halisi ya upinzani
2026-11-06 17:51:52
0
kidanux
kida nux :
je ange sema tupambane na askali je hingekuaje jamani
2026-11-06 07:14:33
1
smokerman742
man moker :
kosa la serikali hapa ninini
2026-11-06 09:34:49
0
user376967754047
user376967754047 :
mahakama hitasema kesho 🤣🤣
2026-11-05 20:16:17
0
ezekiel.sariro.ch
Ezekiel Sariro CHAPA YA NG'OMB :
kwani kuzuia ni uwaini..?
2026-11-05 22:22:42
0
jafari.babayu
JAFARI BABAYU :
mfumo wa dunia niukandamizaji kiukwel
2026-11-06 07:50:17
0
ronniemchatta
RONNIE MCHATTA :
These Statements were absolutely unwanted in our country.
2026-11-08 09:29:32
1
tokeries
Tiktoker :
Wallah, The government of Tanzania is very humble, They you ask here Kenya na the Ug.
2026-11-09 19:03:16
1
mizzoboytz
Mizzo Boy TZ :
Mmh
2026-11-05 21:13:06
1
budapest901
kanwAKabi :
kuzuia uchaguzi sio kosa kisheria ndo uelewa
2026-11-06 14:50:58
1
user76136273008706
muharami :
kwaiyoww unavyosema unamanisha alizuia uchanguzi jibu
2026-11-06 13:37:44
1
edinamhando0
user35780877815680 :
mungu ndio anaejua
2026-11-06 04:04:49
1
To see more videos from user @capt_komba_jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About