@proxmidia: 🌧️ MAJI YA MVUA YANATOKA WAPI? Umewahi kujiuliza maji yanayotoka angani wakati wa mvua yanatoka wapi? Katika video hii utajifunza siri ya mzunguko wa maji duniani (Water Cycle) na jinsi jua, bahari, mito, maziwa na mimea vinavyoshirikiana kutengeneza mvua. Jifunze kuhusu hatua muhimu za mzunguko wa maji: 🌞 Evaporation – Uvukizaji wa maji. 🌳 Transpiration – Utoaji wa mvuke kutoka kwenye mimea. ☁️ Condensation – Mgandamizo wa mvuke na kutengeneza mawingu. 🌧️ Precipitation – Kunyesha kwa mvua. Mzunguko huu wa asili umekuwa ukiendelea kwa mamilioni ya miaka na ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe duniani. Je, unapenda mvua? Tuambie kwenye COMMENTS! 😅 Jiunge na @PROXMIDIA kwa maarifa, teknolojia, elimu na mambo mbalimbali ya kushangaza kwa Kiswahili. #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #proxmidia #elnino water cycle in Swahili, mzunguko wa maji, maji ya mvua yanatoka wapi, mvua inatengenezwaje, jinsi mvua inavyonyesha, evaporation in Swahili, condensation, transpiration, precipitation, elimu ya sayansi, facts za sayansi, maarifa ya dunia, elimu kwa Kiswahili, Swahili educational videos, #mashoga mzunguko wa maji, maji ya mvua, mvua inatoka wapi, water cycle, water cycle explained, evaporation, condensation, transpiration, precipitation, sayansi kwa kiswahili, elimu ya sayansi, elimu kwa kiswahili, facts za kushangaza, maarifa, dunia, mazingira, nature facts, science facts, lucita, mashoga, interesting facts, swahili shorts, proxmidia,
proxmidia
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 14:36:56 GMT
Music
Download
Comments
Kiddie :
Kwa nn kipindi cha kiangazi hiyo cycle inakuwa haipo........Mvua hainyeshi?
2026-11-05 17:21:15
3
Jacob Magesa :
na kwa nini inanyesha kwa msimu tu?
2026-11-05 15:11:18
5
giribettrayphonma :
nakwann kiangazi hainyeshi na wakat mgandamizo wajoto huwa mkubwa kuliko masika
2026-11-05 20:58:13
3
Michael Boniphace :
Vip nyakati za Kiangazi mchakato husimama au ?
2026-11-23 18:21:07
1
na mbona wa2 wanasema tumuombe[Pray][Pray] mungu ili mvua inshe hiyo nayo vip
2026-11-07 16:41:31
2
SHARK 🦈 :
ma hzo Chem chem.je
2026-11-12 05:23:07
0
Elisha da Prince :
na hzo rad zinakuwaje
2026-11-22 22:52:45
1
SIDE OBINNA 🇳🇬 :
navip kuhus theruji inakuaje nayo
2026-11-05 15:09:24
1
MESEN SULE :
umesahau ata vipara vinatoa mvuke
2026-11-24 13:49:19
0
lsaac :
Maajabu ya Muumba🖐🖐🖐
2026-11-06 02:27:12
1
John Ocean :
Acheni uongo
2026-11-27 18:43:07
0
GUSA ACHIA TWENDE KWAO :
Hii ni UONGO wa MCHANA
2026-11-24 11:09:09
0
niko ambae niko :
sikweli YESU MUNGU MKUU ALIE HAI MILELE YOTE ndiye huleta mvua kwa wakati wake na wanadam tunapokuwa na dhambi tusimkumbuke hainyeshi
2026-11-21 23:03:25
0
Justin geniaz :
Kaka kwel
2026-11-15 09:21:24
0
Lupozy 45 :
🤔Sasa mvuke wa baharini si maji chumv mbona maji ni matam cyo ya chumv 🤔🤔mmhh apo naona Siri anaijua mwenyew Allah (s . w)
2026-11-24 10:55:32
0
Rish Rebol :
hydrological cycle
2026-11-20 08:25:58
0
kidimple :
Na kwann inyeshe kubwa, mara ndogo au vimanyunyu kabisa
2026-11-19 00:00:46
0
BRIAN WANGILA :
aaaaaaa Kwan tena sio eti inatoka kwa mungu
2026-11-06 14:16:48
0
shamte :
na rady jee inatoka wapi inapo lipuka
2026-11-11 09:51:30
0
AM STEVE :
mbona ainyeshi Kila siku
2026-11-11 11:28:13
0
Don Diego :
na mbona karibu na bahari mvua huwa hainyeshi
2026-11-28 18:54:19
0
Hamax shera :
Biblia ilitabiri Zamani za kale
2026-11-29 22:40:27
0
Method kifoka Method kifoka 82 :
nashindwa kuelewa
2026-11-13 05:54:49
0
Kesia +255 :
na nchi ambazo hazina nvua kama Saudi Arabia wao hawana bahari ama miti
2026-11-13 07:20:30
0
katungu viviane :
oui bonsoir
2026-11-06 20:49:17
0
To see more videos from user @proxmidia, please go to the Tikwm
homepage.