@sunnah8171:

Farhsa
Farhsa
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 05 November 2026 14:47:37 GMT
149819
7769
1350
1173

Music

Download

Comments

user8300137079514
🎀quity~waa✨️🎀 :
tuliokimbilia coment tujuane
2026-11-07 16:25:40
90
user3853961675791
Didah Asuu :
Ukimuangalia bila wivu ni mrembo alafu nywele nayo mashallah imenyooka🥰❤️,,, apate tu skin care yake nzuri ya black beauty uso usiwe na pimples,,, ni mzuri ♥️
2026-11-07 08:36:09
498
isimillibrahim0
cute mickey :
amkeni Kuna wageni😂
2026-11-06 11:29:15
284
ashamohammed10
Asha🥰💕mohaa :
msimwambie kama Kuna filter
2026-11-06 14:58:08
258
user3781043725321
zizahraj official :
msimwamby kam kun filter wal snap jmn
2026-11-07 18:24:22
0
its._naah
its._naah :
ukimuanglia bila wivu n karembo mashllh 🥰
2026-11-07 11:31:53
79
juhudihenry
Uncle j :
Jamn ndio nafika leo TikTok et huyu ndio zuchu au nandy 🔥✌️🤣
2026-11-07 14:29:19
17
iamrexx2
The Rexx 💫🩵🔥 :
Karibu antii hapa ni TikTok na jiskie kama uko nyumban
2026-11-07 08:35:00
61
mayasa1589
MPOLE BEB💕💕💕 :
karibu dada apa n TikTok,kujiamuliza mambo n lazima
2026-11-07 11:37:53
17
sekalinga15
Sekalinga1 :
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
2026-11-07 18:37:07
0
sept.sisu
Mrs me ❤️💞029 :
Watu wanajifanya wazuri wakty filter zinawabeba embu mnipishe mie 😂,mbn mrembu tyu ❤️🥰
2026-11-07 11:52:50
20
ningalas
mamake Nancy :
Vitu vya ex wangu ♥️♥️
2026-11-06 19:07:01
28
nashynurshid
Nashynurshid💕 :
uko serious dada😂😂
2026-11-07 18:13:24
0
macitta64
mamacitta😍💗 :
grrrl you beatiful🥰🥰🥰🥰
2026-11-07 18:27:26
0
benderachindoro
samson mansunking :
body is what ???
2026-11-07 14:14:18
0
abduralzack.tozz.t
abduralzack tozz.tz :
kumbe Kuna mgeni kaja na hakiniambia nimbwandalie at soda
2026-11-07 03:51:18
16
citwytwiri
gatwiri :
kujeni apa kuna wengine 🤣🤣🤣
2026-11-06 20:05:00
7
user353109510823568
Grace dominic :
wah, okay 😆
2026-11-07 18:06:31
0
mchokozi.girl01
💞💞mchokozi💞💞 :
shakaaa
2026-11-06 12:48:32
8
saaada46
Saaada :
Huy dada mzr kuliko ht Mimi walllah nivile tu filter unanibeba lkn akiweka filter ananizidi mbali San mashaallh
2026-11-07 14:53:56
6
cu258
Mrs said❤️🥰 :
😂😂vitu vya mume wangu kabisa😂😂
2026-11-06 19:34:21
11
mrsvisco0
mama kayden😍💞 :
[Tears of joy][Tears of joy]unaulizwa na nani[Tears of joy]
2026-11-06 19:43:33
38
user5023425611396
nashly :
karibu tiktok
2026-11-06 13:47:19
5
b000036635
Cutie :
kumbe na ww upo!!!!!
2026-11-06 14:15:08
8
khalfanmwangome
man man :
waulizwa na nani?
2026-11-06 17:00:13
7
To see more videos from user @sunnah8171, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About