@tumainilaleo1: Mwanzo 27:42–46 na Mwanzo 28:1–22 BARAKA ILIYOCHUKULIWA EPISODE 2: HARUSI YA UDANGANYIFU Yakobo alifanya kazi miaka saba kwa ajili ya Raheli... lakini Labani alikuwa na siri nyingine. Je, Yakobo atakubali kuendelea kufanya kazi miaka mingine saba ili ampate mwanamke aliyempenda?