@madininews: Shirika la Anga za Juu la Marekani (NASA), kupitia darubini yake ya Solar Dynamics Observatory, limefanikiwa kupiga picha ya Jua inayovutia sana. Katika picha hiyo, Jua linaonekana kama lina sura ya mtu inayotabasamu. Wanasayansi wanaeleza kuwa muonekano huo wa "macho na mdomo" umesababishwa na uwepo wa maeneo yenye giza yanayojulikana kama Coronal Holes. Hali hii inaonyesha jinsi teknolojia ya sasa inavyosaidia kufuatilia mabadiliko ya Jua, ambalo liko umbali wa maili milioni 93 kutoka hapa duniani.

MADINI TV
MADINI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 15:18:38 GMT
68477
1209
580
511

Music

Download

Comments

zammy3899
zammy🦋 :
mbona lina matongo tongo
2026-11-05 18:21:59
168
lucy.chriss
Lucy Chriss🔐😍 :
Apo katabasamu tu ndo tunaungua hiv je akicheka kabisa c tutaiva[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-05 18:46:08
70
mariannasamson825
mariannah :
Naomba hiyo darubin ije kumulika mahusiano yangu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] hahaha[Laugh approved][Laugh approved][Wall lurker]
2026-11-05 20:07:21
0
meepause003
Mëe pause 🦋 :
what a beautiful smile 😋😋
2026-11-05 21:51:34
0
user6800323131534
Ney love 😘 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] mmhhh lisicheke tyu jamn maana tutaungua kabisa kwisha ss
2026-11-05 21:20:43
0
majoje86
majoje :
litabasamu kama la x wangu[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-05 22:01:30
0
paulina77o
pipit in :
[Tears of joy][Tears of joy]mnauhakika tusijivhekeshetu bir
2026-11-05 18:26:07
0
sharifayahata
🦋Sherry vany🦋 :
Msoma coment yuko wap yule😂
2026-11-05 20:21:29
0
user1519924554274
Kidoty 45🌹🍀 :
AU CIO KWAIY MWANETU UNACHEKELEA TUNA VYOUNGUA🤣🤣🤣🤣
2026-11-05 18:04:04
44
user2608690225792
cute tifah🦋🦋 :
afu ilo jua vitu vyangu kabsa
2026-11-05 20:51:05
8
mrsmomo86
✨Mrs✨ mo🍏mo🍏 :
mh kumbe ban jua linatabasam na hamsemii
2026-11-05 18:19:06
17
yaks0112
✨Yak💫 :
Nilijua tu kama jua linatufanyia makusudi sasa kwanini linatabasamu😂😂😂😅
2026-11-05 22:56:48
2
hersagracious
Gracee🥀 :
Ndio tunazidi kuungua linune kwanza tupumzike jamani 😂😂😂
2026-11-05 18:24:32
11
jolene.adreen
Jolene :
ila hizi darubini za bongo😆😅 afu usikute last born ndo aliekua anazoom🤣🤣
2026-11-05 21:55:37
2
brayan.0731
Brayan 07 :
mna tuchukuliaje
2026-11-05 22:08:50
2
lolah9763
lolah :
jua limeanza kujiamulia mambo
2026-11-05 22:41:46
0
mom.samir0
Mom baby❤❤❤❤💓😧👈👈 :
huu mwaka tutajionea mengi
2026-11-05 18:07:18
6
br33azy
BR33AZY :
yani ana tuchuma alafu anajipongeza kwa kaziyake nzuri daah jua jau 🥺🥺🥺
2026-11-05 23:14:18
0
user53801785721288
isaya Joel :
na hapo nimetabasam tu mvua azieleweki siku likicheka tutakua mishkaki
2026-11-05 20:42:22
5
lizzy93853
lizzy :
SA LISITABASAM TENA!? HII KAZI YA MCHANA KWA ASUBUH WENYEWE SI MNAONA
2026-11-05 21:29:13
0
benboe1
NRBS🤝😈 :
kwhyo linafulah linavyo tu bonda
2026-11-05 20:52:52
0
moohjay004
moohjay :
kama kutabasam linatuchoma kiasi iki je likicheka
2026-11-05 21:12:07
3
sixtaimelda6
misstika♐❤️🙏 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] wa(litaka lilie
2026-11-05 18:43:29
1
fedrikc1
Fedrikc :
aaa ndo maana nilikuwa sikaelewa
2026-11-05 20:09:55
1
ummycash2
ummycash :
mbona anageukia dar kuicheka 🤣
2026-11-05 20:39:48
1
To see more videos from user @madininews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About