@mikachavala: “Tangu siku za Yohana Mbatizaji hata sasa, ufalme wa mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wauteka.” Mathayo 11:12 (SUV) ——— “From the days of John the Baptist until now, the kingdom of heaven has been subjected to violence, and violent people have been raiding it.” Mathayo 11:12 (NIV)
Nje Ya Yoteeee Anayo Pitia But Anaongea And She Is Very Strong 💪 Na Haongei Kwa Kutia Huruma Anaongea Ila Jasili Sanaa Mwenyezi Mungu Azidi Kumtia Nguvuu Na Amwonekanie🙏
2026-11-05 17:28:34
10
RAHMA ❤️💐🌺🥰 :
Weka nomba tumsaidie uyu dada🙏
2026-11-07 06:21:54
5
Momomk🇹🇿 :
Mungu amsaidie huyu dada ana Una ujasiri mkubwa sana .
mika is a very good mentor but this woman is a very strong
2026-11-06 11:13:40
5
user202730041991 :
Number kaka Mika tumsaidie
2026-11-07 08:17:41
3
CLEOPHATRAH WHOLESALE 🇨🇳📎 :
Leta namba yake tumchangie 🥺
2026-11-07 10:01:32
3
MG light@ :
kaka nipatie namba ya uyo dada nimsaidie
2026-11-09 19:32:27
1
hellen Daniel ❤️ 😍 :
nakitamani hicho kitabu
2026-11-05 18:22:17
2
mamygregory :
Dada ameniumiza sana huyu
2026-11-06 04:19:09
1
AnnahB :
pole dada
2026-11-05 16:03:01
1
T/E scents :
Pole sana
2026-11-05 16:06:45
1
violetmmasi :
NINAOMBA AKILI NA UFAHAMU
2026-11-06 05:19:13
2
Ney_og :
mnh..pole dia
2026-11-05 18:31:07
1
S-Moto Auto spares 🚘 :
2026-11-05 16:48:52
0
Mungu ni kila ktu kwangu vaaTz :
Amina sana mtumishi wa YESU
2026-11-07 18:53:02
1
SKY STORE :
Daaaah 🥲🥲
2026-11-05 17:26:20
2
mamygregory :
Mungu akubariki sana Mika
2026-11-06 03:50:05
1
It's Notti jr :
kakak unafanya kazi kubwa sana,nimeona reaction ya uyo dada kabla ujamjenga kiakili kwamba anaweza ajachelewa,hakika alishajikatia tamaa tayari ila umemuondolea dhana aliyokwisha jijengea akilini mwake hakika wewe ni zaidi ya mwana sekolojia aiseee😁
2026-11-05 17:52:17
8
Mr. jerusalem :
chumba cha elf 50
2026-11-10 05:34:09
1
Goldenlove 🇹🇿 🇺🇸 :
Alipigwa RISASI ya mguu hii sentence hatuiongelei vya kutosha lkn ndio serikali hio !. Sasa mama yake kafa ,,, mtoto kafungwa yote hayo ya nini ? Na kuna hbr mbaya zaidi ya hizi.. watu wako kimya.. Yaani yoote haya ni mtu mmoja tu awe RAISI ? Jmn , hii nchi inawalipia hawa viongozi na koo zao zooote mpka watakapo kufa nchi ya Tanzania inawahudumia Bureeee lkn haitoshi mnaua watu , mnateka ,mnawafanyia vitendo vya kinyama. MNACHO TAKA HASA NI NINI NYIE VIONGOZI Wa TZ ??
2026-11-05 20:12:03
3
typing.... :
bro nisaidie kaziii daah nitakufaa
2026-11-05 18:29:49
1
MSAKA JERO :
mika weka mkeka wamsaidia
2026-11-06 09:35:00
1
Maxwell Maximillian :
😭
2026-11-08 02:09:18
1
mboshoziivy256 :
YESU amuinulie watu huyo dada 🥺 sawa sawa na isaya 43:4. Namuelewa zaidi huyo dada kuliko mtu yeyote, YESU akukumbuke binti akuangazie nuru za uso wake, can I get her number please @Mika Chavala
2026-11-05 16:24:21
4
Jenpher 🦋 :
@Niffer_cosmetics amuonekanie huyu dada jamn eeeh
2026-11-10 11:29:36
0
To see more videos from user @mikachavala, please go to the Tikwm
homepage.