yani mm kuna mmoja nilimwambia siwezi kufanya kazi na wewe maana kanunua perfume moja kwa bei ya jumla halafu nimfatie mzigo wake sehemu nimuunganishie na hili jua
2026-11-05 17:31:15
1
AirBnb kigamboni maweni :
mbona me nimeletewa box kabisa na nimefunga ,sema akupe gharama za kufunga mana ukiunganisha juu waiba
2026-11-05 21:39:13
0
Linnah Collection :
Kuna Mteja Leo Ananiambia Yupo Kigoma Anataka Pazia Nifunge Nipeleke Kwenye Mabasi Alafu Pale Nikishamtumia Ticket Ya Kupokelewa Kwa Mzigo Ndo Alipie Huo Mzigo Nikamwambia Sawa Maana Nikasema Nisije Kumpa Jibu Akaniona Mie Mkorofi Wateja Wana Majaribu Sana
2026-11-05 19:40:52
0
Arya_Store :
Simuunganishiii auludishe mzigo wKe
2026-11-05 19:16:33
0
Hadija Tawaqal :
wateja wanajua kutupima imani, pole mwaya
2026-11-05 18:30:33
0
KINGA JEWELRY STORE_ :
2026-11-05 20:34:39
0
Miss M :
kulikuwa na ulazima gani kuja kumuanika hapa mtandaoni si ungempigia umwambie
2026-11-05 18:40:25
1
Madam Winger :
Mwambie alipie mfuko asiniulie ndug yangu
2026-11-05 16:09:54
1
zuuleyn♓️ :
Si uban tu hapo
2026-11-05 19:40:36
0
mdogoake_mchinaa1 :
🤣🤣🤣🤣🤣👐👐🏃♀️
2026-11-05 18:45:40
0
To see more videos from user @mama_zuri_store_tz, please go to the Tikwm
homepage.