kun saa natamn kuandik kweny story ya huyu dada ila daah nachok kun kitu iko iv mim niliwah kuacha kwend kufunga ndoa na mwnaaume imebak miez miwil tukafunge ndoa na maandaliz tushafanya ila kun redflag nying san nilion nikasem kun vitu avifosiw haya ni maish kueka bond na dangerous iz ni atar japo inauma san ila Mungu alinisaidia nikavuk ni miaka minne ilopita sas nina aman na nina uhur kun mambo meng san niliona mda mfup karib na kueelekea kwny ndoa kun sa nawaz kam ningekubal kufunga ile ndoa ndo aya yangenikut pengin na zaid ya aya tujifunze ukion redcard atakm imebak mda gan kuingia kweny hyo ndoa acha kbs usichezee maish yako kua mfano kwa wengin
2026-11-05 19:34:15
4
🦋Gladyshoo♒️ :
Ndomana wamachame 😂😂😂😂😂 wana tuogopa
2026-11-05 17:41:46
2
Camila🤍….🌸🎀 :
Mbona video zake zinanijia sana😂
2026-11-05 19:57:37
1
Storehouse Tz :
The same
2026-11-05 21:56:49
0
naicy :
nngevunja mahusiano siku iyoiyo
2026-11-05 16:38:28
7
St01 :
next part
2026-11-05 17:22:38
0
shirimacresanta :
mbona wa nyumbani
2026-11-05 19:10:04
0
Sandra Mudzo :
ntaolewa kweli mm jameni🙄🙄
2026-11-05 17:52:17
0
linah :
wa nyumbn kabisa pole kipenz
2026-11-05 17:53:07
2
Bonnet by Ksa❤️🦋 :
mimi ndo maan sitak kurudishwa nyuma nikiondok naondoka sitak ushaur
2026-11-05 17:27:01
1
Jane :
pole wajina😥
2026-11-05 19:32:08
1
deby❤️🌌 :
ila
2026-11-05 21:01:12
0
KIBALI INTERNATIONAL COLECTION :
Munguu wanguu mrombooo Tena uwiiiii labilaaa langu
2026-11-05 16:06:04
0
🦋amGlady🍹🍸 :
wanyumbani kabisa huyu dada jamaniii 🥺
2026-11-05 18:35:52
0
renee🦋 :
mchaga mwenzangu
2026-11-05 20:47:53
0
cecy Daniel🥰🥰🥰🥰 :
jmn kumbe wifi umetokea rombo yan umefanana na wifi yangu mke wa kaka angu wao wanaishi Moshi naye katokea rombo huko huko pole sana
2026-11-05 22:45:35
0
HAJRA-♥️ :
Ndoa isingefungwaa wakuu
2026-11-05 22:12:03
0
queencute400 :
ningekuwa na kaka yangu uyu angefaaa kuwa wifi yangu kabisaaa
2026-11-05 21:02:41
0
ms joy💕 :
ila wew dada nimekusikiliza sana sana ila una moyo subuth sizani kama ndoa ingeendelea
2026-11-05 22:12:40
0
sesi.shirima :
pole ndugu yangu
2026-11-05 16:57:13
0
To see more videos from user @wallacemakata, please go to the Tikwm
homepage.