@hubofwisdom.inc: "Wale waliolegelege wanaliwa, na wale walio ngangali wanaendelea mbele." Ukishakuwa mwanaume inakuhitaji kukomaa, kuwajibika na kugangamala ๐ช๐ฝ Maisha hayatakupendelea kila wakati. Kuna nyakati utalazimika kusimama imara hata pale mambo yanapokuwa magumu. Jifunze kufanya maamuzi, kubeba majukumu yako, kutafuta fursa na kupambana kujenga maisha bora. Usikimbie majukumu, usikubali changamoto zikufafanue na usiache kukua. Mwanaume halisi hajengwi na umri, anajengwa na fikra, tabia na matendo yake. Simama, pambana na timiza wajibu wako! #Thewisetz #joramnkumbi #Uanaume #Masculinity #PersonalGrowth
hubofwisdom.inc
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 16:02:15 GMT
Music
Download
Comments
KATORO :
big brain.
2026-11-05 20:14:14
0
Official doy :
makini sana ๐ง ๐ฝ๐ฏ
2026-11-05 19:56:19
1
Rich Masson :
aaah uwakika # Tangu kwa BABA YETU ADAM
2026-11-05 19:09:03
1
ABDULLAH TZโ. :
fact
2026-11-05 17:57:50
2
elibariki :
asante Sana
2026-11-05 16:49:09
2
๐ Official King Fahad๐ :
ngangari
2026-11-05 20:51:39
0
Linnah๐ :
mhhh ila
2026-11-05 20:26:30
0
JOHN :
kwakwel
2026-11-05 20:27:15
0
Kevoo_clo๐ก๐๐๐๐๐๐ฉณ :
akili kubwa
2026-11-05 18:06:44
0
ndoto lengo mafanikio ๐๏ธ :
kuna neno umesema mwishoni, hilo ni uhakika kabisa
"anakufa kisabuni"
2026-11-05 20:14:46
2
Thabiti mbehoma :
eeeh kun mwanaume na wakiumee
2026-11-05 20:14:16
1
Rocka Chi :
๐ฅ๐ฅ๐ฅ
2026-11-05 19:59:50
1
RJGM OUTFITS :
[Perfect score][Perfect score][Perfect score]
2026-11-05 18:39:53
2
Payoa@arMz4 :
๐๐๐
2026-11-05 18:20:55
2
mtu kati :
๐๐๐
2026-11-05 19:11:46
1
Mick john :
๐๐๐๐
2026-11-05 17:58:35
1
pastormkamajohn :
๐
2026-11-05 18:03:49
2
shantimba :
๐๐๐
2026-11-05 18:16:54
0
kingkitururu :
๐๐๐
2026-11-05 18:30:43
1
Abduli Abedi :
๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-11-05 18:23:51
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm
homepage.