@official.moo_: 😓😭 #videoviral #videoviral #video

official.moo_
official.moo_
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 16:13:15 GMT
212547
18123
335
298

Music

Download

Comments

princess.suuh7
princess suuh :
Ila jamn tuseme ukwel mwanaume wakiislam anapendeza mnoo akivaa kanzu mashalllah [Heartwarming]
2026-11-08 09:46:23
127
saudah.hassan75
Saudah Hassan :
[Crying][Crying]donda bado libichi kisha nakutana nahiy kaswidaa
2026-11-06 12:59:33
6
user5852990877114
Aisha :
Jamn pole
2026-11-05 16:28:46
0
minah.hansi
Minah Hansi :
unafanya nikumbuke mbali nawakati najitahidi kusahau jaman. ilakikubwa uzima japo moyo unakua namaumivu jaman😪
2026-11-16 19:44:15
4
shaymaah.com
@shaymaah06 :
cjui niseme nn ila nashukur mungu tu, tulipanga hadi majina ya watt lkn hatimae kaoa na amenialika siku ya ndoa 😭😭😭😭
2026-11-07 22:28:30
16
user813420216172
say👄🇹🇿❣️🇴🇲❣️ :
pole 🥹
2026-11-20 07:54:49
0
mishy3478
mishy :
Allah akup hitaj la moyo wako kipenz🥰🥰
2026-11-06 08:35:45
5
sheilamlacha
Sheilah🦁🤍 :
Mungu nipe mcha mungu kama huyu😢😢😢😭😭
2026-11-06 14:13:01
0
alphoncehamiss570
[email protected] :
kwan hii nyimbo inaitwaje iko very sweet
2026-11-11 04:36:40
5
aisha.rajabu61
Ninfar Omary :
pole jamani
2026-11-05 21:09:53
0
mariamumasaninga
Mariamu Masaninga :
moo acha kulia hayo yapo tuh kubwa nikumshukuru mngu likuepukalo lina kheri kwako. na iliyo rizki yako itakufika popote ulipo nyamaza 🥰🥰🥰
2026-11-05 19:26:25
17
culturekudu
Vasco Dagama🚦🇹🇿🇹🇿 :
Nilimfundisha hadi kuendesha gari Haikuishia hapo na leseni nikamkatia akaingia Transist alivo enda Ndora zambia sijui yupo wapi💔💔💔
2026-11-09 07:10:07
6
esharybbys1
Eshary bby's :
nashangaa Kwa nini mume wangu hapendi kuvaa kanzu😌nazinavyopendeza mwanaume akivaa🥰
2026-11-08 11:40:20
1
salkha931
Salkha93 :
kaka mzuri na unaumizwa🥰🥰🥰
2026-11-07 22:46:49
1
shaadyjay
shaadyjay :
jamani usilie kaka angu Allah Yuko pamoja nawe
2026-11-05 20:17:01
5
armajofficially
ARMAJ :
Machozi tu yamekusalit.
2026-11-11 21:33:40
0
chimam658
🔐💍🫶chimam💋💞💯 :
mwambie mama asante kwakuku zaa mtumie na 10000
2026-11-10 21:53:03
2
riziki.cute3
Riziki cute :
pole san kaka usilie bc
2026-11-06 07:47:13
1
jemimamy26
Jemimah 🦋 :
ivi umeoa kwel jmn nimekupenda bure 🤭
2026-11-10 12:36:19
2
khadijamussa91
khadijamussa91 :
mutuambie kaswida inaitwaje natakaniimbe niliemwenzenu
2026-11-09 06:59:14
3
alphan.salumu
alphan salumu :
naomb nisaidh jina la hiyo qaswida
2026-11-09 16:24:13
0
mcanasuzy
Suzy Mcana :
me mkristo ila imenibamba ❤️
2026-11-09 16:52:15
2
fahmi_dirham
Fahmi_Dirham :
tajiri
2026-11-06 16:06:53
0
halimahabibi247
Halima Habibi :
tutaenda wote inshallah
2026-11-11 18:33:38
1
mai737.mai7373
Mai737🥰🦋 :
Inapenya ndani ya moyo wang 🥹🫡🫂🙌🙌🙌🙌
2026-11-11 18:48:12
1
To see more videos from user @official.moo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About