@hmahalu: Aina za makundi ya wateule na kazi zao hapa duniani

MamaTJ
MamaTJ
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 16:25:52 GMT
4017
357
28
12

Music

Download

Comments

mrkelivin612
mr kelvin :
kwani mi nimeteuliwa
2026-11-05 16:38:26
0
magrethanthony325
mama jay :
dada mi nimteule najisikia kunyoa nywele nishauli yaani hichi kitu nimeanza kujisikia toka mwaka jana
2026-11-05 17:03:51
2
simonkemincha
@home sweet :
lipa #please
2026-11-05 17:32:09
0
therealme.88
The real me. :
wenye chuki binafsi wanadhani kuwa mteule ni kula bata cjui,wanahisi kama machosen ones wanajifaharisha ila wangejua wanayoyapitia watu wa aina hiyo kwamba wao wakipigwa moja tu hospital hiyo mara presha,Mara moyo,mara eeeeh.....jaman😳😳😳
2026-11-05 16:35:08
1
cuterazan1
Hazan hanim :
Exactly kbsaa hizi dalili kma nimteule utajijua tuh mm shapotea watoto wangu 2 same year kipigo kikubwa and etc mambo mazito mazito Asante dear 🥹🙏🙏🙏🥰
2026-11-06 04:14:03
0
user3997092784017
user3997092784017 :
Mimi hapa nimevulumua vita kwa family ambayo Hadi leo ndugu hawanielewi ukoo mzima umekuwa vulumai
2026-11-05 17:53:41
0
shibaby086
santhush🥰🤩 :
dada niko na swali je mtu akiwa na dred ina shida kama ni mteuliwa
2026-11-05 19:05:42
0
gebrisla
@Gebr isla forever :
mama Tj heshima yako shkamoo rafiki ❤️❤️
2026-11-05 19:53:05
0
rashidmgawe2
Rashid Adam :
leo nimekubali mpaka umesisimua mwili wangu
2026-11-05 17:39:39
0
rhoda.rocha
Rhoda Rocha :
nashdwa kuelewaaa
2026-11-05 20:27:07
0
upendorichard95
Upendo Richard :
Amen
2026-11-06 09:30:50
0
pretty.love8750
Noor hussein :
True
2026-11-05 17:15:21
0
gebrisla
@Gebr isla forever :
pole sana kwa kazi ngumu maana tumesha shinda😅
2026-11-05 20:05:58
0
rashidmgawe2
Rashid Adam :
leo umeni sisimua mwili wote
2026-11-05 17:33:41
0
user5734817285732
source :
Watu wote ni choosen one ila watu wengi wamelala wachache ndiyo wameamka(aweken).Watu walio jitambua wanajua vipaji vyao,akili zao na wanapata maarifa yanayoendana na vipaji na akili zao.Hawa hupata mafanikio makubwa.Walioko usingizini hawajui vipaji vyao na akili zao hawa hawafanikiwi.
2026-11-05 17:02:45
0
shwadidi056
shwadidi05 :
Kwanini choosen one wengi wanazaliwa kwenye familia au koo za kichawi
2026-11-05 18:22:07
2
To see more videos from user @hmahalu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About