Nikikumbuka kuna siku mighty ilianguka karibia na mto,gari ya uokoaji inakuja hawana vitendea kazi wananchi mpaka wafate shoka wavunje mlango kumuokoa yule kaka nyie ndio siku nilishuhudia mtu analalamika na tunashindwa kumuokoa mpaka anakufa,anatolewa ameshakufa ,madereva me hata mkiniambia hamna hela siwaombi tena 🥹
2026-11-06 05:20:26
64
Ilham Shirima :
mungu awalinde madereva wote
2026-11-06 03:15:55
29
Ayoub :
sehem gan apo mkuu
2026-11-05 20:05:47
0
menas :
daa aysee poleni sana wekeni ushilikiano ili mmuweze kumtowa
2026-11-06 03:18:06
7
@mimay :
MUNGU Awalinde Madereva wote katika Safar zenu za kila Siku 🙏
2026-11-06 03:52:49
17
Najathy Chalamila :
Allah amfanyie wepesi yarabb
2026-11-08 15:22:27
0
Denis Haule :
Njombe songea jamani mdogo mdogo vijana mtaacha sana ndala ila poleni kwa mtiani mwenyezi mungu amfanyie wepes mpambanaji mwenzetu🤲🤲🙏🙏
2026-11-05 22:10:08
7
venance paschal mbwale :
kueni makin madereva mtangulizen mungu jaman
2026-11-08 16:56:20
3
sajukiff :
mh pole madeleva
2026-11-07 11:50:56
1
miles 254 :
yupo wapi dereva
2026-11-06 11:54:29
0
user7928061388429 Hazina mahep :
polen atatolewa
2026-11-10 07:07:19
1
tatizo kamdomo :
SSN nawaona
2026-11-07 13:01:25
1
Grayson Mariga :
msaada tiktok🤔
2026-11-07 04:45:48
1
MADAMU NURU 🇹🇿🇴🇲🇦🇪 :
Eeee Mungu wangu Poleni sana jamani ndugu zetu
2026-11-08 19:29:44
2
carlyx26 :
Mungu naomba nilindie mme wangu 🙏
2026-11-07 16:07:16
1
Daniel Njeru :
hiyo njia kutoka songea hadi makambako ni MUNGU tu saindia yale nilijionea kwa miaka tatu huko ni MUNGU mkuu
2026-11-06 13:31:14
0
Nick Falcao :
hapa mbeya nilipita ili trailer
2026-11-06 10:09:00
4
🌹Rm mapunda💫💫 :
jmn kaka angu namshukulu mung umeludi nyumbn unaendelea vizulii
2026-11-07 12:52:08
3
vero LyatongaVeronica Swai :
jamanj wa karibu toenj msaada acheni lawama jamani
2026-11-07 10:21:03
2
To see more videos from user @ismailmparestina, please go to the Tikwm
homepage.