bibi yangu alikuwa akisoma kila siku mara 1000 siku yuko kwenye sakaratul maut alisoma baada kuimaliza na yy ndio pumzi yake ya mwisho Allah ampe pepo bibi yangu asamaehe kila alipokosea
2026-11-07 04:08:09
25
mzolah :
walalhi sister m nnasoma ile swala y mtume 1440 walai m nasema ukwel leo.tayr nnashika pesa nisiyo itarajia subhanallah Allah akulipe
2026-11-05 18:06:51
39
show :
Ila sisi tulio gulf huo mda wa kukaa mpaka umalize ndo haupo, marq umeitwa inabidi unatembea huku ukiiaoma pole pole, kama ni lazima ukae kikao kimoja na uelwkee qibla wengine itatufaa kwel??!
2026-11-06 17:08:25
2
Asha Yasmin :
tuandikie tafathali
2026-11-05 17:56:35
1
hafswa yahya :
tuandikie plz
2026-11-06 11:53:59
0
mama kawthary🦋 :
dada nimromba mno kuwekwa ktk group hata hujataka kuniingiza shida nini gtoup limrjaa???
2026-11-07 22:01:32
0
henna_beads :
2026-11-05 19:53:49
5
user5825217537310 :
Asalam aleykum. naskuru Mungu na ushuhuda kwa swalat nabii. Alhamdulila. Allah akupe kila la gheri. kwa swadaka hii. unayoitoa[Pray]
2026-11-05 19:24:37
3
𝑶.𝑫𝒁𝑼𝑾𝑨𝑹𝑬 :
Allah akuzidishie umri inshallah
2026-11-05 18:16:38
1
ZennahSimba :
Mm nisipokua twahara nasoma hii swalat Nariya and Alhamdulillah
2026-11-07 21:46:59
0
khayrat kassim :
mda gan mzuri kufanya
2026-11-06 09:57:39
1
user4720423951120 :
sasa sisi hatujui Quran haki
2026-11-08 04:50:33
0
MamaBoys🧑🏽🦱🧑🏽🦱👨🏽🦱 :
Allahuma ameen
2026-11-07 13:01:45
0
فاطمة!!!🧸 :
Amin yaa rabb
2026-11-07 04:02:51
0
da_user23 :
shukran
2026-11-06 03:38:33
0
user12345567890 :
Ameen
2026-11-08 03:06:15
0
user9670744522013 :
Swala ya mtume imenionyesha maajabu mengi sana Alhamdulillah