@massoudkhaifan: Wakati mwingine zawadi kubwa ya upendo si kumpa mtu kitu cha thamani, bali ni kumkumbuka katika dua zako na kumuombea kheri hata akiwa mbali nawe. Kuna watu ambao uwepo wao una maana kubwa katika maisha yetu, na tunachoweza kuwaombea ni afya, furaha, ulinzi na amani ya moyo. Allah awalinde wale tunaowapenda, awape yaliyo bora katika maisha yao na awaondolee kila jambo linalowasumbua. Aamiin Ya Rabbal-‘Aalamiin. 🤲🏽 #jumaamubarak #foryoupage #foryou #viral