Naomba maana ya hili andikoo
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
2026-11-10 11:09:54
2
Junior jr :
amen 🙏 mtumishi sema baba neno la Mungu limenyooka halija pinda watapotosha wengi lakn neno liko pale pale
2026-11-10 04:21:42
2
Nkoswe Mkatoliki :
Mtoto akifa hajabatizwa huwa anaenda wapi Mtumishi
2026-11-13 06:16:40
0
felix midagwe :
samahani mtumishi naomba kuuliza hiv mtu anatakiwa kubatizwa akiwa na umri gani
2026-11-07 17:21:11
0
Lazaro kahema :
amen 🙏 mtumish mungu aturhem katka sku y kuja kwake
2026-11-06 15:34:13
1
Aribeti safari :
Nikweli
2026-11-11 13:16:45
1
KINYANAMBO YOUTH ADVENTIST :
1 Timotheo 4:1
2026-11-05 17:09:17
4
ML 155150 :
hakika kabisa pastor bwana akubariki
2026-11-11 13:10:49
1
glory :
kweli wemesha anza tulehemiwe tu
2026-11-06 20:36:32
1
omwiiiii . mwita :
Amina mtumishi
2026-11-12 11:08:16
0
chongeboy :
Mungu tupe macho tuone 🙏
2026-11-06 20:18:51
1
Dorongwa Joseph :
aminaaaa
2026-11-12 14:28:12
0
Mr pure :
amina
2026-11-05 20:12:55
1
cutegirl :
amina sana
2026-11-05 17:20:59
1
La Pulga :
Amen
2026-11-12 15:33:57
0
B,brandy🫡🫡 :
Amin psta🙏🙏
2026-11-05 17:10:11
1
Huruma sadock Katule :
amina
2026-11-12 01:13:18
0
Robert Magaigwa :
Amina
2026-11-05 17:21:57
1
shabbat sabato magori :
Amina🙏
2026-11-13 20:42:56
0
JESSUSE CHRIST :
Amen
2026-11-14 13:23:43
0
fest yohana :
amina mutumishi wamungu
2026-11-12 05:59:19
0
sara msafiri :
amin
2026-11-11 15:06:32
0
amostimoth :
Ameen
2026-11-11 09:29:36
0
know :
amen amen 🙏🙏 pasta mungu akutunze
2026-11-13 05:54:40
0
care :
mungu atusaidie
2026-11-05 17:42:53
0
To see more videos from user @kinyanambosdachurch, please go to the Tikwm
homepage.