niwakumbushe tuu kuwa RR ndio wanatengeneza engine za ndege magari ni ziada tuu
2026-11-05 20:04:29
27
sawaka 77 :
hamna kaka ni Mercedes ndio gari expensive
2026-11-05 20:01:08
7
SADDAM_Op🏗️⚓👷🏾♂️ :
Kwani Lamborghini ferrari Budget ulishawai kuona wanafanya matangazo Yao🔥
2026-11-11 00:59:02
0
Assad Abdillah :
wamewahi kufanya kipindi wanatoa phantom
2026-11-06 08:46:27
2
Idris :
Rolls-Royce ni kampuni ya Uingereza inayotengeneza injini kubwa za ndege, hasa ndege za abiria kama Airbus A350. Ndo maana unaona gari na ndege hukaa pamoja
2026-11-06 16:31:05
5
ÇøMRËD☠️☠️ :
atimaye swali langu limejibiwa
2026-11-05 19:46:46
4
mulastar255 :
Hawanaga njaa wale jamaa wanatengenezaga Engine za ndege ila magari hayawafanyi kampuni ku survive
2026-11-05 22:19:07
4
MIke😎 :
They do ni vile hujagundua
2026-11-05 18:34:45
4
chunyu 47 :
mbona mondi TIKTOK alafu anayo.?
2026-11-06 12:26:44
2
Brighton Renatus :
Hawa jamaa wanasemaga magari yao siyo kwa ajili ya kila mtu
2026-11-10 16:11:02
0
VICTOIRE 📷✅ :
kuna mambo haya ✌️
2026-11-06 17:37:20
1
BBG_BUSINESS STORE📍☝🏿🇨🇩 :
Rolls-Royce Ghost Gari ya ndoto zangu
2026-11-10 06:54:24
0
TRUTH.LAND :
sasa na iyo si tangazo mbona wanaleta iyo katika ndege aca kutucanganya bwana
2026-11-06 14:11:07
1
Amady bakari :
Hawa kweri. mafahari na mabilionea wanaoweza kununua hizi gari ni Wana wa mfalme r
ti daa😳🙌
2026-11-06 06:03:31
0
Prod Reeq :
bora Rolls-Royce je umeshawahi ona tangazo lolote la Lamborghini
2026-11-06 15:17:31
1
cruzy :
Ni Benz mzee
2026-11-09 05:01:58
0
Idris :
broo hao RR ndo wanatengeneza izo mashine za ndege
2026-11-06 16:27:51
2
madii :
nakubali mkuu
2026-11-06 20:42:18
0
💡⚡️𝓘𝓶𝓪𝓷 𝓛𝔀𝓲𝓷𝓰𝓪⚡️💡 :
Wewe mbona umepotea sana
2026-11-07 20:08:49
0
MJOMBA :
Uongo RR ni watengezaji wa injini za ndege... magari ni kama kachumbari kwenye pilau
2026-11-11 06:17:37
0
cdamsh_ jesh :
kaka lambogini vp sio bei kushinda rozroooz nijib brooo
2026-11-11 06:21:48
0
The GREAt MaRJEIB*🇹🇿1HZ🚘 :
nilivowahi kuiona RR ya raisi wa kwanza aliikuwa anatumia ndio nikakubali wacha wauze gar zao garama
2026-11-10 19:14:29
0
6ixchux :
kwanza Ross rolys ni kampuni inayomilikiwa na bmw na niwatengenezaji wa mashine za ndege kwaiyo si swala kufanya show zao kwenye air
2026-11-07 22:32:58
0
BM FORCE :
ahha kwamba wanaamuka tuu wanajipangia sio 😂😂😂
2026-11-06 08:03:18
0
To see more videos from user @cadabra_7, please go to the Tikwm
homepage.