@doctornoel: Maoni yako ni yapi?

Dr. Noel, MD
Dr. Noel, MD
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 17:10:50 GMT
12532
1010
46
20

Music

Download

Comments

.abduljameel
Um_ kulsoum ❤️💐 :
Adhana hailii doc hua inaadhiniwa
2026-11-05 17:41:21
1
amingo99
Amingo99 :
mwisho wa siku kumbuka kua dini ni mfumo wa maisha😶‍🌫️
2026-11-05 18:53:12
1
selemanpaul222
Seleman vandy :
umeenda OP Leo docter wang
2026-11-06 04:12:42
1
annabelsamson21
annabelsamson :
Ukisoma sana dini mbalimbali unaishia kua atheist
2026-11-05 19:25:59
2
humble_lion_619
P.E.A.C.E :
Yeah man that's a fact, it made more sense baada ya kubahatika kupata elimu ya dini zote mbili kubwa hapa Tz
2026-11-05 17:47:43
2
user6885194946078
Jerrymafayo3843 :
pamoj bro👊
2026-11-05 17:17:01
1
ms_dorine2
-.itsdorin🦋 :
uongelee na kuhusu cetrizene🫣
2026-11-05 17:38:21
1
salehsaid878
Saleh said :
mm muislam lkn wakristo kama wataweza kuniaminisha mungu kwao ni nani? au kwnn bibilia ina vesion nyingi? na kwann wanasaport waisrail wanachokifanya? rabda hapo nitawaelewa wanijib kwa fact au maandiko
2026-11-06 08:36:20
0
beyondvidz
Beyond videos :
Nilivyo anza kusoma theologies za dini zingine ilinifungua sana macho, na hadi leo mimi ni agnostic!
2026-11-05 20:29:20
0
uvuvishop255
BAHARI SHOP :
ukizungumzia manufaa basi Wataabudu viumbe vingi sana maana vingi vina manufaa mengi kwenye jamii
2026-11-05 18:27:36
1
sovo2013
R@him :
doctor nataka dawa bawasili
2026-11-06 08:45:39
0
shanga_asili
shanga_asili🇹🇿 :
Yeah ina-make sense sana. Na hii ndio tujue kuwa hakuna dini sahihi kuliko ingine, Mungu hana dini.
2026-11-06 05:27:12
0
12giosue
Sir Joshua :
Lakin inatakiwa tupeane uelewa hz iman zinavyotumika ndivyo sivyo,
2026-11-06 06:07:17
0
nicolusjoseph48
Nick syntax09 :
huwez kuta roman catholic wanasema kanisa lolote
2026-11-06 05:27:54
0
ole.nanyaro
Nanyaro :
Adhana Hailii Adhana Inasomwa
2026-11-05 21:48:54
0
30677006142451danny
danny B :
nikweli kadisa
2026-11-05 18:48:51
0
hozzajuma
V. man. :
Nini maana ya ibada??
2026-11-05 22:11:06
0
dueces110
ﺭﺣﻴﻢ :
🙌🏽 kwisha
2026-11-05 17:28:53
0
mrhanii996
Mr Hanii :
umeeleweka.
2026-11-05 17:59:21
0
complex755
complex75 :
unajaribu kusema nn
2026-11-05 18:19:49
0
thabitackim
thabit ackim :
ina make sense kdg. but ina flaw moja kwamb vitabu vyao havisem ivoo. vitabu vyao vnasema kbsa hao wanyama n mungu na wanaombaa kbsa kwa majina yao... io explanation sio ya kweli uliipewa bcoz soma historia ya mungu ganesh uyo mungu wa wanyama yan tembo na ng'ombee. io explanantion uliopew ina make sense ilaa sio ya kweli kbsa😁
2026-11-06 09:19:04
0
_redemptor_portia
Redemptor Portia :
Me nianze zangu kuabudu anaenipa pesa😇
2026-11-05 18:03:16
0
jonathan_mayoba
J'than mayoba :
[Like][Like][Like],
2026-11-05 17:22:43
0
_six7.0
Geof :
Vipi kuhusu walokua wakiamini Mungu wa Zumaridi, bado na wao kunakitu flan kizuri kuhusu imani yao, au ni issue za psy😇
2026-11-05 17:19:52
0
iam_mcdonny
Quentin DonÇaprio :
HAKUNA MUNGU.. na DINI ZOTE ZIMELETWA NA BINADAMU.
2026-11-05 18:15:13
0
To see more videos from user @doctornoel, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About