@sajor_ball: JORGE JESUS: "CRISTIANO NI AICON WA DUNIA, MIFANO KWA URENGELIỊi Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Jorge Jesus, ametoa ujumbe wa kihisia kufuatia Cristiano Ronaldo kustaafu soka la kimataifa. "Cristiano ni AICON WA DUNIA, ni mfano kwa Ureno na kwa timu ya taifa." Jesus alifichua kuwa alikuwa ameweka picha kubwa ya Cristiano ukutani kwenye ukumbi wa mazoezi ili wachezaji wote vijana waweze kumuona na kupata motisha kila siku. "Nilimwomba aendelee pamoja nami kwa sababu NILIHITAJI AWE PEMBENI YANGU... lakini ni lazima nikubali uamuzi wake." Kocha huyo alisisitiza kuwa Cristiano "ataendelea kuwa na nafasi kwenye mioyo ya Waporto. Ataendelea kuwa AICON WA SOKA LA URENGELIẠỊ Ni heshima na kumbukumbu kwa mchezaji aliyebadilisha kabisa historia ya taifa hilo #Soccer #football #cristianoronaldo #fypシ