nilijua hanipendi kumbe ndo
walivyo asnt kwa kuniamby
2026-11-05 19:24:02
61
Khuli❤️🩹 :
Hayakogi romantic🥺
2026-11-05 19:21:42
21
💓🍿🍫 :
ukiwaambiwa usiku mwema wanajibu "Aya"
au "sawa" sas wew jifanye umekasirika 😂 utajiju
2026-11-05 18:44:42
38
Cute baby🥰❤️💯 :
kuna wangu anawivu balaa ila anakaa wiki nzima hanipgii mpaka anipgie🥹🥹🥹
2026-11-05 18:58:12
14
Ms- Ray🤎🌺 :
Me naona ww ndo utanifaa🥰🥰🥰
2026-11-05 18:28:55
9
Grace of god🙏 :
Mm nikikuw naangalia t dimpoz
2026-11-05 20:51:54
1
Calister💫✨️ :
Alotazama Movie ya Mother's bargain nahis anamjua chief coker😁 ndo ndoto yangu
2026-11-05 20:44:33
0
jaylen :
Nilizan hanipend jmniiiii [Teary eyed][Teary eyed][Tears of joy] sasa tabia gan izo za ajabu
2026-11-05 20:46:13
0
☆*✿shadey☆*✿ :
ni wachache wenye miaka 30 ambao wanajielewa ila wengine wao hawajitambui
2026-11-05 19:26:16
13
last born ❤️❤️ :
wakwangu anashinda barabarani anatangaza neno la munggu ikifika jioni anaenda darasa la biblia kwaiyo hata muda wa kudiscus kitu hana nifanyeje hapo au nitie blacklist [Laughing]
2026-11-05 19:12:17
9
🌸selflove🌸 :
bt those uncles r very boring 🤨
2026-11-05 20:46:26
0
Binti jay kingu🦋🦋💫 🇴🇲 :
increase your voice please 🙏 😁😁😁
2026-11-05 20:39:54
0
Ms Rachel :
duuh m2 hanitfti sku mbli usisem sas
2026-11-05 18:27:56
6
Newhappy1 :
ni wazuri sana hawana mambo mengi,ukimuheshimu tu utafurahia
2026-11-05 19:32:59
5
C A D O :
Bro mwanaume aliyependa anafanya kila kitu ambacho watu wanahc ni havifanyiki ndo maana wakasema mapenzi hayana umri.
2026-11-05 19:22:28
7
berry :
yaan ni kwli kbs🤣 anatoka kazini amechoka anasema mama na lala, ukinuna utajuwa wew🤣. ila eeh MUNGU nilindee huyu kijana🙏
yooooh nikajua sipendwi wallah🙈🥴
kuanzia sasa moyo wangu unaamani kidogo😂😂😋🥰
2026-11-05 20:31:58
0
𝔹𝕣𝕒𝕧𝕖 𝕘𝕒𝕝𝕣💫.🍫♥️ :
tena ukinuna anakwambia ukiwa sawa utaniambia😂
2026-11-05 20:31:04
0
...🎀reen🎀.. :
Lang ukiliambiaa nakupenda linjibuu I know mamaa😂😂ukinunuaa utajua mwenyeweee
2026-11-05 20:29:37
0
beautiful lady🥰🤗❤ :
sio kweli mie ninae nadate nae anamiaka 31 na nikinuna halali Wala hakia akatulia mpk anahakilisha Niko sawa ,na anapenda kutoka na mie kutembea usiku kufurahia na zaidi anapenda umbeaaa 😂😂😂 nampenda uyooo hauna Cha kunishauri hapo sio kweli au tuseme sio wote ila kwenye akili ni kweli na heshima ,lkn ayo mengine hunishauri kitu, Yuko perfect kabisaaa na nampenda kuliko
2026-11-05 20:25:29
0
aiem..Mary🦋 :
unamwambia tuachane nbakie mwenyewe anasema sawa alf asbh anakuletea zawadi😂🙌
2026-11-05 20:01:38
0
Church Dada20 :
mapenzi hayana fomula kaka inategemeaga tu huyo mtu saikolojia yake imekaaje
2026-11-05 20:23:41
1
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm
homepage.