@dr.jessy09: Sikiliza hii kwa mama #viral #foryoupage

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 17:45:18 GMT
37494
2323
75
128

Music

Download

Comments

terianmkeku
terian Mkeku :
doctor asante Kwa mafunzo ila Mimi naumia Sana kwenye nipple akinyonya sahi Yuko three weeks old nifanyeje jamani
2026-11-05 17:57:01
3
babe_lee4
Being lee🌺🌸 :
Dr mm leo nmemfokea mtt wang 😭 nmemtukan 😭 nikamsonta kichwa najihis kuchanganyikiwa najiskia vbaya sana nko peke ang
2026-11-05 21:33:41
2
user2008807907440
Annita mush :
Thanks doc
2026-11-06 04:57:14
0
user2818807617838
@marry cruzy :
samahan dr .wanangu anashutuka akiskia sauti kidog inasababishwa na nin? naomba unijibu
2026-11-06 02:32:59
0
happyness0030
happyness@003 :
dr naomba unijibu mwanangu kunamuda anatetemeka mguu au mkono alafu kunamuda anastuka
2026-11-05 18:08:56
0
misslee341
L³³👑#🇹🇿 🇨🇳 :
Mwanangu akicheua anatoa mdomo I na puani😭😭 anaumia Sana kwasababu hiyo hali iliwah kunipata ukubwan nifanyaje nimnusuru mwanangu
2026-11-06 01:09:29
0
nancy592990
nancy592990 :
doctor Asante kwa mafundisho kututia moyo ubarikuwe sana
2026-11-05 17:50:57
1
meernat123
meernat :
doctor mie mwanangu ana miezi mitano...ila ana virashes vinakuja vilipotea nimemaliza dawa lkn bdo
2026-11-05 18:44:20
0
najmaseleman720
selemannajma :
mi na mimba ya miez 9 lakn ckupata daw zile za mwaz ukiwa na mimba nifanyaj mi
2026-11-05 18:27:15
0
azimac_
azimac :
asante sana
2026-11-05 17:54:45
0
missalphoncehema
Miss Alphonce Hema :
asante sana Dr jessy nafurahia elimu yako🥰🙏🫶
2026-11-05 18:22:49
1
raphide6960876176872
raphide6960876176872 :
dada mwanangu anatetembesha mguu mmoja shida ni nn
2026-11-05 23:30:15
1
.8maimuna
💝Muna💝 :
mwanagu ni 3 months analia sana nikimmassage nifanyaje mara tu akiona mafuta tuaanna kufuta yuajua ni wakati wa massage
2026-11-06 04:11:17
0
jennie0117960
Adorable dove 🕊 :
Jamaniiii kumbe ndyoo maana mtoto mtoto wangu anavimbiwa tumbo limejaa ges
2026-11-05 20:10:11
0
happywiliam0
happywiliam749 :
Asante kwakutufundisha 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-11-05 22:03:35
0
user21217633577595
salimakyakimwa8@gmai :
asante dada
2026-11-05 22:40:16
0
user78244909608597
lici makolongo :
asante docta
2026-11-05 21:30:07
0
user5242710416950
Elizabeth :
pole
2026-11-05 20:05:08
0
hoedary
darabe :
Asanteee sanaah
2026-11-05 19:41:32
0
user3566808030444
Rehema Mkeni :
Asante hua nafanya hii kosa
2026-11-05 19:37:04
0
simon.msafiri.mje
Simon Msafiri mjema :
Elimu nzuri sana Madam
2026-11-05 19:50:16
0
happythobias
Happy thobias :
Ulicho ongea vyote mimi nilikuwa nafanya makosa asante umenisaidia
2026-11-06 05:32:44
0
oliverbaby24
sorencin :
dah Asante sana dada
2026-11-06 07:08:57
0
user1756541561717
Lontia 22 :
love you mama Dr🥰🥰🥰
2026-11-05 20:11:18
0
user6320851783550
Mom ushushu ❤️ :
Allah akueke kwa ajili yetu inshallah wenyew tunakupenda
2026-11-05 18:04:21
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About