@director.laizer: Hongera Steve Barker kwa kuchaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi kutoka Simba SC! 🏆🔴⚪ Uongozi wako, mbinu zako na kazi kubwa unayoifanya pembeni ya uwanja vimeonekana wazi. Endelea kuijenga Simba SC kwa nidhamu, umoja na ushindi. Wanasimba, mnaionaje kazi ya Steve Barker ndani ya Simba SC? Maoni yenu ni muhimu!