@pascal_mushi12: Yakupikia usije ukapaka😂 #Chefpascal #cooking #Rosewater #serengetinationalpark

Pascal's Kitchen
Pascal's Kitchen
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 18:55:58 GMT
39704
1591
41
41

Music

Download

Comments

ask_enterprises
ASK ENTERPRISES :
ok na rose oil
2026-11-05 19:16:31
0
mgchris222
Maggie :
ndo najua leo yapo ya jikoni pia
2026-11-05 19:05:24
5
amaryllis084
amaryllis 🤍🫰 :
dadeeeq nimepaka vya kupika , nimepika vya kupaka😂😂😂
2026-11-06 13:34:34
15
am20334
aM ♌️ :
Me natumia km toner na nzuri tu mwaya
2026-11-07 21:44:57
4
user6923748186782
Fatma Collection🧣 :
bas baogopaga kunywa ila kwakua chief kasema basi nitatumia .
2026-11-07 11:53:28
2
fadhilacollection1
fadhilacollection1 :
Mtafanya tuongezewe bei😂😂
2026-11-06 05:16:26
2
_johnx__
johnx_❤️🇺🇸🇰🇪🇬🇧🇱🇷🇨🇵 :
asante chef [Red heart]
2026-11-06 08:45:21
1
mom.key64
mom key :
Acha nijifunze taratibu.
2026-11-05 19:13:56
2
thatmelanin1808
MeLa+250🫦 :
me shatengeneza zangu toner..rosewater+karafuu+mchele
2026-11-10 20:52:18
0
withme377
Don’t Do it :
Rosewater pia ili ponya chunusi zangu 🥰🥰🥰
2026-11-07 16:28:16
1
user8515136941038
salha Twalbu♥️ :
hafadhari Leo ume SEMA maana dada angu anajipaka
2026-11-05 19:42:38
2
happy.ngowi26
Furaha 🥰 :
napenda vipindi vyako vya mapishi.
2026-11-06 04:18:01
1
punguzenikuviewprofile
Anneth malya :
😂😂Kuna watu washadanganywa uko etyi inaondoa nuksi waogee
2026-11-06 19:12:21
1
stellahamiri1
Stellah♏ :
mbn nimeshapaka ya kupikia🙌
2026-11-06 17:42:31
0
madamglm11
Madam GLM :
ndo nilikuwa naenda kununua nipake usoni umeniwai
2026-11-06 15:48:46
0
shammy_collection01
princess shammy✨ :
Asant cheef nimekuwa tofaut sana toka nimeanza kukufaham
2026-11-08 16:43:43
0
angrybird9246
Mwaj..🇹🇿🇶🇦🫶 :
nakuelewa sana
2026-11-06 16:19:06
0
nee.wence
nee.wence :
woiiiii mi napaka😂😂😂😂
2026-11-06 12:30:32
0
donartsalanga
Donart Salanga :
naomba nielekeze viungo vya kuoka nyama ya mbuzi..naamza na Nini Ili nyama iwe na ladha na laini?!
2026-11-06 04:30:36
0
mama.yao69
Mamaa :
Asante nimejifunza huwa naiona Tu.
2026-11-05 19:21:06
0
tongatransport2
TONGA TRANSPORTATION SERVICES :
yesu wangu nimeangalia kumbe yangu ni ya kupikia me najipakaga😭😭🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 12:03:21
0
alexjohn107
Alexander :
kwamba inaliwa me natumia kupaka uso na kuogea
2026-11-06 06:19:57
0
bint.haidary
Bint Haidary :
Asante kwa kunijuza nilikuwa sijui najui kwenye keki na vireja
2026-11-06 09:42:11
0
radhiahassansaid
iptidahyaissaissa :
Nimelipenda somo asante ndo vitu vyangu hivi 💯
2026-11-06 09:33:50
0
official.geeh59
zam❤️🫂🥹 :
sawa chef🥰
2026-11-05 19:07:59
0
To see more videos from user @pascal_mushi12, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About