Ukute wanamtongoza Jihan anawakata hasira zote wanamalizia kwa wasukuma wote😂😂 sio kwa maneno haya haiwezekani Kila kitu ni Sisi wasukuma Mungu si hata wew unaona tunaonewa uku Sisi wasukuma🥹
2026-11-06 05:15:20
74
braytonnorobeth1 :
Wasukuma mnaonewa saaana nduguzangu
2026-11-05 20:49:59
44
SAITONY🎸🎹🎮🎤 :
Lengo lenu tutoe ya moyon watu wasio julikana wafanye kaz ila hii cm yangu inakihelehe sjui imeandika Mann haya
2026-11-05 21:36:01
61
Frank Madama :
R.I.P Uncle Magu
2026-11-08 17:19:59
0
Athaboy :
mfalme BERSHAZA....
2026-11-06 12:06:40
5
kaobama.kisabo :
wasukuma mbona kweny codi hamtukatai au kweny kura hamutukatai
2026-11-05 20:40:42
8
mama augustino✨️❤ :
daaah nawaza mbariiiii sana wasukuma hatuna haki MAGU UPUMNZIKE KWA AMANi😭
2026-11-06 10:55:22
12
RAJABU ALFANI :
Hamna kiongoz apo! 🥺
2026-11-06 05:34:52
21
evansmillinga :
mi sio msukuma lkn kwann asitaje kabila lake
2026-11-07 18:31:13
4
Father House😎 :
ukute maisha ya tz ni movie tunaigiza alafu sisi tunachukulia ni maisha ya ukweli 🤣
2026-11-05 20:53:13
16
JUSTINE...% :
R.I.P MAGUFULI 😭😭
2026-11-07 08:47:11
2
SAYUNI LAWYER :
kwan na yy c msukuma au
2026-11-06 05:56:52
2
poyer :
kashalewa madaraka huyu Mungu naomba tu utukumbuke wasukuma kwenye ufalme wako naona dharau zinakua nyingi sana
2026-11-06 06:09:29
3
user7888196250666peace :
dharau za Hali ya juu
2026-11-06 15:36:07
1
luniligele124 :
nakwenye deni la taifa msituhusishe
2026-11-07 11:28:24
2
Donald Maligisa :
yy mwenyew ni msukuma
2026-11-06 18:06:55
2
SIBOMANAKENJI :
hajui wasukuma ni taifa kubwa me napenda kuwaita wa ebrania niwengi harafu wanaupendo
2026-11-07 04:26:30
2
beathamart :
🤣🤣🤣hvi tumewakosea nn jamani duh!
2026-11-06 15:12:44
0
BLACK PANTHER :
r IP wasukuma
2026-11-07 12:24:10
1
Anita!!!♥️🥰 :
mmmh ukute sisi wasukuma so watanzania Nimeumia sana😳
2026-11-08 11:51:06
1
Justin Agustino :
Ni kweli magu hakukosea
2026-11-06 03:18:30
3
Feristar Lukasi :
kosa letu nikuwa wengi tanzania nzima basi tusamehewe tunaomba ladhi
2026-11-06 08:40:20
1
Mwakalinga :
Huyu last born ana dharau jamani
2026-11-08 13:47:29
1
Josephmodoks :
hiiii ndio tanzania halisi ya chukua chako mapema (ccm) kutoka 180 bllion had zaid ya 380 billion jumlisha majibu yamakonda nilazima ulewe usipolewa b
2026-11-05 23:04:56
2
Rached :
hapa Kuna mambo haya ✌️
2026-11-06 05:44:42
0
To see more videos from user @kusaga14, please go to the Tikwm
homepage.