@bbcnewsswahili: Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa Mahakama Kuu, inayotarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Lissu anakabiliwa na mashtaka ya uhaini aliyoyakanusha, akisisitiza kuwa alikuwa akipigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na demokrasia nchini. Hukumu hii inayosubiriwa kwa hamu inaweza kuwa na athari kuhusu haki za kisiasa, demokrasia na utawala wa sheria nchini. - #bbcswahili #TunduLissu #CHADEMA #foryou #fyp

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 05 November 2026 21:00:00 GMT
36031
2686
85
50

Music

Download

Comments

buffett.homes
Buffett Homes :
BBC🙌🙌 yaan mmepost siku immeanz tuuh 00:00🙌🙌🤣🤣
2026-11-05 21:10:32
54
c.e.okichele2
wakili msomi☺️✍️✍️ :
mpka saiv wengine bado tupo macho kulala Hadi tujue hukum yake😭
2026-11-05 21:34:12
39
jaygirl037
🫀pisces girl :
BBC kwan mnalal saangap
2026-11-05 22:22:53
13
shannymoriss
Sh@nny🦋❤️ :
aachiwe tu
2026-11-05 22:18:06
4
mtumishi....h
Mtumishi :
lissu sio muhaini free Lissu
2026-11-05 21:19:22
15
d_tronix
D_TRONIX :
AAAAH BBC MPO MACHOO😂😂😂
2026-11-05 22:19:37
0
alex.j.marunda01
Alex.j.marunda :
mungu wa onesmo muonekanie uyu baba...
2026-11-05 21:31:54
3
elishashauri
elishashauri :
Mmmhh BBC news 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-11-05 21:15:27
5
mazee338
mazee338 :
Lissu atavuna alichokipanda. Siasa za hovyo na za chuki si halali kwenye ardhi ya Tanzania. Leo tunataka kuona hitimisho la huu mjadala tumechoka kufuga uhuni chini ya kivuli cha Harakati. Kama itathibitika Hana hatia, basi aende zake na tutaheshimu uamuzi huo wa mahakama. Ila kwa upande mwingine, matokeo yapokelewe kwa ustaarabu pia.
2026-11-05 21:17:54
1
faydady
💫official⚡bike🍁boy :
leo kuna mambo haya✌
2026-11-05 21:49:06
4
recho.john34
siara ♥️🔐 :
mungu amtetee jmn kateseka sana huyu baba 🥹
2026-11-05 23:22:47
4
salim__chicharito
salim__chicharito :
kumbe kumekucha na cjalala😅
2026-11-05 23:04:13
2
irene_duge
miss.renny :
nimekosa usingizi kabisa nawaza sijui itakuwaje huyu baba
2026-11-05 23:01:55
1
draick.bavon
Draick Bavon :
Hana hatia. Huyo ni mpigania haki.
2026-11-05 22:08:46
2
sophyvibe23
@sophy23 :
eeee ad kesi ya lisu enikuta sijalala jmn nitafute kazi 😅😅😅
2026-11-05 23:57:23
1
user8821618463137
ABRAHAM OLE MAA TV :
Hana hatia
2026-11-05 21:19:57
1
anetyibrahim
user2582954961033 :
aachiwe huru jamn .
2026-11-05 22:21:58
1
williumkawawa
Onhow :
sina cha kusema ila Mungu ni mwema kuliko k2 chochote katika maisha ya mwanadamu
2026-11-05 21:02:30
10
user7073000738307
jequer :
right
2026-11-05 21:08:12
1
lutherjosiah
luther..Ligas💫💫 :
wakwanza
2026-11-05 21:06:20
1
miss6illey
emilian🥰six :
hamlaliii
2026-11-05 21:32:49
1
hey.chockie
hey.chockie :
Let’s pray for him🥹
2026-11-05 21:57:13
1
user6521227479288
user6521227479288 :
2026-11-06 01:26:42
0
user2455252015530
🦋Nayce💜 :
daah Mwenyezi Mungu akasimame jamn inatosha sasa🙏🙏😭🙌🙌
2026-11-06 00:49:22
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About