miaka 3 ilifanya nwe Kam zombie chiz si chiz 😂😂 ndoa zilaqniwe jmn me staki tena 😂😂
2026-11-06 06:18:39
55
ester :
nyie hamjamjua vizur uyo janet tuulizen sisi ndug zake
2026-11-06 14:52:17
12
Bby grl :
Jmm me lazma niolewe hta mseme nini acha yakanikute huko huko nd niondoke kwa maneno tu hapana siwaelewi😂😂😂💔
2026-11-06 10:31:50
84
dear shayo :
Sio kila ndoa ni mbaya
Na hakuna ndoa isiyo na changamoto ila za mwenzetu zimezidi tupo tunaoishi kwenye ndoa na ninafuraha sana kukosana kupo kugombana kupo ila sio kupigana kwaiyo sio kila ndoa inachangamoto kama yako au ya uyo dada my dear
2026-11-06 06:26:46
19
veve🇳🇬🇹🇿 :
me hata serikali ya trump na ya Samia na ruto ziungane sitak ndoa😏
2026-11-06 08:11:20
23
wedda :
nikupe pole mdogo wangu ,mm nilipitia kama ww au zaid ya ww ,nilichokuonea hurum ni muda mfupi mm nilivumilia miaka 10
2026-11-06 06:07:08
22
Narony💕 :
Jamani hebu kueni waelewa basi,shida sio ndoa shida ni kuolewa na mwanaume ambaye hajakupenda namaanisha kulazimisha ndoa,Kama umemsikiliza huyo dada anasema kabisa alianza kuonesha dharau tangu uchumba sasa alitegemea nini,ndoa tamu mwanaume akikupenda yeye
2026-11-06 15:47:59
11
Priscila bin mauja🌺🌹 :
Mimi ndoa siogopi ila watoto😭😭🙌🙌ni vile mtu akikuoa inabidi mzae hio ndio sitaki😭😭kwahio solution ni kusema ndoa hapana
2026-11-06 13:58:06
6
sia :
🥺Hug mom
2026-11-06 11:51:38
0
Pretty vee ♐️ :
sina mengi ila sitamani ndoa
2026-11-06 07:32:09
5
Esther Jarah :
me nikiolewa nitavumilia tu Mungu Nipe ndoa nikumbuke na me
2026-11-06 06:48:22
7
🍒cherie-osborn👸 :
mimi nilipofikia stk kuskiliza mateso yawatu kwenye ndoa zao☺️nahiii nawashauri ambao hamjaolewa msisikilize sana mateso yawengine kwenye ndoa zao mtaubeba huo uchungu kwenye mioyo yenu mtachukia ndoa 😂kwaiyo salini san kila mtu na msalaba wake🫴
2026-11-06 21:41:15
2
Qeen angel :
waseme nn wanavumilia hkn pa kutokea wamebk kulea watt
2026-11-06 12:49:24
1
llove_255 :
sema jamani kutoka kwenye ndoa sio rahisi mjue .....
2026-11-06 10:11:14
5
Mom Anaya💕 :
tuseme nni kipenzi wakati na sisi tupo kushangaa kumbe kuna wanaume wa hivi hapa duniani
2026-11-07 06:06:02
0
🎀Da mariam🎀🌸 :
Sema tu unatuita 🤣
2026-11-06 10:25:48
0
mwahija ❤️ ❤️ :
mm.nilitoka ata sikutaka iyo talaka yake walah ndoa hapana kwakwel mm mwaka tu niliaga na akaniambia sepa na nguo zako tu vingine havikuhusu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]mpka leo haamin macho yake
2026-11-06 07:24:16
0
doublep🦋 :
Tuseme nn na hatukuzaaa kwenye ndoa 😭😭😭😭😭😭
2026-11-06 13:14:15
0
mom G :
watoto ndio wanafanya tuvumlie na kusema ipo siku atabadilika kumbe nitabia ya mtu tuu na kupitia maumv
2026-11-06 09:37:32
1
nulyawe :
kuna utofaut wa wafia ndoa na walioolewa
2026-11-07 06:32:40
2
msr majengo😍 :
kipenz huu wimbo kaimba nan na jina la wimb please
2026-11-06 06:01:30
3
SAMAH💕 :
Wanateteaga ndoa watu wanataman wanaingia ndo yanawakuta haya sipend mtu atetee ndoa mm bc tu ndoa gereza kila cku nawaambia kwenye ndoa aslimia 10 ndo wana furaha
2026-11-06 10:49:23
2
Judith :
tusha lia sana sasa inatosha jmn tusikumbuke kulikotoka 🥹🥹
2026-11-06 14:02:40
3
mashotoney ndeli :
kwa sasa kuitetea ndoa inaogopesha maana unaweza mshauri mtu vumilia kesho yake ukasikia yule ulie mwambia vumilia ndoa Ameuwawa so ndoa ukiona imekushinda wewe ondoka tu bila kuaga maana uhai ni muhimu kuliko hiyo ndoa
2026-11-06 13:01:51
3
Didas jr :
hatuwezi kusema kwa kusikia upande mmja tusubiri na mwanaume aje
2026-11-06 13:54:02
0
To see more videos from user @musomakaribu, please go to the Tikwm
homepage.