@workingmama40: TESS has so many features! This is just one of them! #tiktokshopaffiliate #ttsaffiliate #affiliatetools #tess @Fast Track Girl ⚡️

Jessica Rae
Jessica Rae
Open In TikTok:
Region: US
Thursday 05 November 2026 22:28:56 GMT
718
41
12
2

Music

Download

Comments

4pawsandatinyhuman
Mona 🌩️ 🎮 :
First time in 4 years my phone is not in vibrate mode 🥰🙌
2026-11-06 04:57:50
0
kierra_b_lifestyle
Kierra 🎀 ⚡️ :
Jsssica is the best 🥹🥹
2026-11-06 04:30:19
0
thefasttrackguy
thefasttrackguy :
Tess is ready for Q4! Thanks Jessica 🫶
2026-11-06 01:01:18
0
elliecct
ELLIE | mom finds :
I’m obsessed with it 👏👏
2026-11-06 03:28:53
0
mercedesmv17
Mercedes ❤️💙 :
If I sold more I would totally do it
2026-11-06 04:22:42
0
lizaterry58
✨The Mom Edit 40+ ✨ :
I love it!
2026-11-05 22:57:40
0
lisa_rn_22
LisaRN22 :
I love it too. It’s so fun.
2026-11-06 00:13:05
0
hant2016
Ya girl Hannah ⚡️☀️ :
Literally obsessed 🤩
2026-11-05 23:47:36
0
creativelytracy
❌CreativelyTRACY⚡️ :
Lovvvvve the cha-ching!!!
2026-11-05 22:50:28
0
ladyady1211
Ady :
Yup have it !
2026-11-06 00:11:26
0
logan_mama_wifey
Logan 🎀 :
I love it!
2026-11-06 00:33:16
0
marketwithterri
TLP :
@Jessica Rae is there a coupon code or anything?
2026-11-06 02:19:26
0
To see more videos from user @workingmama40, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Ngoja nikueleze jambo ambalo wanawake wengi wanaotafuta ujauzito wanapaswa kulifahamu. Kuna wanawake wengi wamekuwa wakijaribu kupata ujauzito kwa miezi mingi, wengine hata miaka, lakini kila mwezi wanapoingia hedhi wanarudi kwenye maswali yale yale.
Ngoja nikueleze jambo ambalo wanawake wengi wanaotafuta ujauzito wanapaswa kulifahamu. Kuna wanawake wengi wamekuwa wakijaribu kupata ujauzito kwa miezi mingi, wengine hata miaka, lakini kila mwezi wanapoingia hedhi wanarudi kwenye maswali yale yale. "Je, tatizo langu ni nini?" "Je, nitakuja kuitwa mama?" "Je, kuna kitu ninakosea katika safari yangu ya kutafuta ujauzito?" Ukweli ni kwamba, wakati mwingine tatizo si kwamba hujaribu vya kutosha, bali huenda bado hujajua sababu inayokwamisha safari yako ya kupata ujauzito. NDIYO MAANA NIKAANDAA MIMBA PACKAGE. Huu ni mwongozo maalum unaolenga kumsaidia mwanamke anayetamani kupata ujauzito kuelewa afya yake ya uzazi na hatua muhimu anazopaswa kufuata. Ndani ya MIMBA PACKAGE utapata mwongozo kuhusu: 1️⃣ UCHUNGUZI WA AFYA YA UZAZI: Kujua vipimo muhimu vinavyoweza kusaidia kutambua changamoto zinazoweza kuathiri uwezo wa kupata ujauzito. 2️⃣ MZUNGUKO WA HEDHI: Kujifunza kufuatilia mzunguko wako na kutambua kipindi cha ovulation. 3️⃣ AFYA YA HOMONI: Kuelewa umuhimu wa homoni katika mzunguko wa hedhi na utoaji wa yai. 4️⃣ LISHE YA AFYA YA UZAZI: Kujifunza umuhimu wa lishe bora wakati wa maandalizi ya ujauzito. 5️⃣ AFYA YA MFUMO WA UZAZI: Kuelewa changamoto kama PCOS, fibroids, endometriosis na maambukizi yanayohitaji uchunguzi na matibabu sahihi. 6️⃣ MWONGOZO WA HATUA ZA KUFUATA: Kuelewa namna ya kupanga hatua zako kulingana na hali yako na matokeo ya uchunguzi. 7️⃣ SUPPORT NA USHAURI: Kupata mwongozo wa kukusaidia kuelewa hatua zinazofuata katika safari yako. DADA, NATAKA UELEWE JAMBO MOJA... Huhitaji kuendelea kutumia miezi mingi ukijaribu kila ushauri unaousikia bila kuelewa hali yako. Unahitaji kuanza na hatua sahihi, kufahamu afya yako na kupata mwongozo unaoendana na mahitaji yako. MIMI DR DICKSON, NIMEKUANDALIA MIMBA PACKAGE KWA AJILI YA KUKUSAIDIA KUANZA SAFARI HII KWA UELEWA ZAIDI. ❤️ Kama unatamani kupata ujauzito na unahitaji kujua namna ya kujiunga na MIMBA PACKAGE: TUMA UJUMBE WHATSAPP KUPITIA +255(0797637021) WENYE NENO "MIMBA PACKAGE" LEO. Nitakuelekeza namna ya kupata mwongozo huu na hatua za kuanza. SWALI KWAKO: Umekuwa ukitafuta ujauzito kwa muda gani bila mafanikio? #MimbaPackage #AfyaYaUzazi #KutafutaUjauzito #DrDickson #UzaziSolution

About