mm jmn nilivyo zoea kutembeza iz fimbo zang kanikosa[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-06 16:34:30
16
Mrs :
mungu nipe kama huy
2026-11-07 06:49:02
23
Mwantumu Mwantumu :
mungu. naomba uni pe kama huyo
2026-11-06 20:54:40
37
RAALISRUJA :
kwani wanaume kama Hawa bado wapo?
2026-11-07 05:57:43
13
jack son :
mi siwezi bola tuachane
2026-11-07 04:13:03
26
Claudine Olga :
kwa wekuweza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-06 14:11:56
13
suzy🥰 :
kuolew kumbe Raha iv
2026-11-06 15:43:36
11
Erfazia Bijoga :
heeee mam huyooo sass
2026-11-07 07:44:26
0
diandesy@ :
mmh ww me siwez☺️🤣
2026-11-07 05:21:52
0
Emily Kadii :
atakama n wivu huo umepitiliza[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-06 19:16:52
1
Miksoni 82 :
Lyl mzurii
2026-11-07 05:16:02
6
✨JD✨ :
wee mi hapo umenikosa 🌹🫣🫣🫣🫣 we kuweza
2026-11-06 09:44:22
16
husna abed :
[Big LOL][Big LOL][Big LOL] nimechek tu
2026-11-06 14:42:45
5
🦋𝓲𝓽𝓼. 𝓵𝓮𝓭𝓮𝓼𝓲𝓮𝔂💞 :
Mmhhhhh
2026-11-06 17:01:51
0
MR. ROTIVI :
mi kama popte napoenda ananipeleka nachohitaji naletewa mshahara naoutaka napata saloon napelekwa na kurudishwa huyo ndie mume ninaemtaka. mimi mume wangu aliniachisha kazi lakini mshara napata 1.5 kwa mwezi na hataki hata nitumie pesa yangu kwa matumizi ya nyumbani.
2026-11-07 11:32:30
0
Angel 💕💕 :
Mbn km mnafanana
2026-11-06 23:39:28
7
Mariamnillan :
Uyu ndio Mme wang yaani anakera akikuta umependeza unasikia ulienda wapi🥺
2026-11-06 21:18:00
6
nife :
jamani bora niachike
2026-11-06 09:47:09
5
Fk :
h
Huenda ika ndio tabia😄😄😄
2026-11-07 12:55:37
0
🌹𝓼𝓱𝓪𝓫𝓾𝓳𝓾🌺 :
wakwangu ata chooni bila ruhusa yangu haendi
2026-11-07 07:59:39
4
mariyam msomali :
hii ni muvi gani
2026-11-06 22:10:14
4
Zulfa Abdallah :
du sheria gan hy jaman
2026-11-07 07:30:04
4
anethy 💋🌹🌹 :
Inaitwaje hii move
2026-11-07 08:50:04
0
To see more videos from user @sharob70, please go to the Tikwm
homepage.