@bitokerubbega: #germany🇩🇪 #kingdomofsaudiarabia🇸🇦 #ugandatiktok🇺🇬 #creatorsearchinsights #sweden🇸🇪

Rubbega
Rubbega
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 06 November 2026 02:01:07 GMT
10721
620
96
118

Music

Download

Comments

user1054812392700
Dr. Ibrahim Wainaina. :
Kuna umuhimu mkubwa sana kupelekwe Waalimu anagalao wawili waweze kuelimisha watu huko na wamshike huyo kijana mkono, wamsomeshe na wakae nae karibu sana manake anaonesha ana hamu sana ya kusoma ni vile hajapata wa kumfundisha, pia anaonesha kua tayari kufanya da'wa.
2026-11-08 03:05:15
12
mimef21
. :
please tell us where is this place mashaallah these people need our help please
2026-11-08 05:33:41
0
yasserkhan_
❤️🤝🤑 :
mashallah jitajihd lakin so kwaivo wakat mwengine swalin jamaah tu hutuba weken niya
2026-11-08 03:23:39
2
manager_imu
manager_imu :
Kijiji gani hiki naweza pata namba zao maalim
2026-11-07 22:05:42
8
user44098211601442
swahaba mpokomo :
[Crying][Crying][Crying]mashallah
2026-11-08 03:33:25
1
hajikombohaji
maamuzi magumu :
wapi hii tuende
2026-11-08 03:56:49
2
bashiru.athumantz
bashiru AthumanTz :
hii imenigusa ni kwamba ss vijana tunadhima kubwa kwa mungu utakuta kijana kasoma anaelimu ya kuyajua masaili ya dini lakini hatutulii nyumbani kuendeleza dini miaka kwa miaka watu wanazidi kuwa wajinga hawana mtu wa kuwaelimisha inauma sana 😂😂😂🙏🙏🙏
2026-11-07 19:40:27
7
ally.mpinga5
Ally mpinga :
Mungu awaongoze kumbe ata mm ninajua kidogo asante mungu kwa ndogo yng elimu
2026-11-08 03:41:10
4
rajabushop
#Rajabu :
nipo teari kuja kufundisha hapa kwenye hii masjidi nambieni ipo wapi?
2026-11-08 04:41:24
3
iamukhtar_
iamukhtar_🇹🇿🇺🇲🇨🇦✈️🛩 :
Watu wasome dini jaman
2026-11-08 03:54:27
2
hamisiselemani32
Hamisi :
kwa usomaji huu naona hiyo karatas imeandikwa kwa kiswahili kabisa
2026-11-08 05:28:07
1
user6826265497380
musajamini :
tuambieni basi hiki nikijiji gani na kipo mkoa gani
2026-11-08 02:46:08
2
muarabu823
mungu ndio hakimu :
duu hii hutuba nzuri😅
2026-11-08 03:40:46
2
abuudardadi
abuudardadi :
sawa ujembe utafikatu. kidogo kidogo maashaalaah
2026-11-07 04:41:58
3
mketoamketo
Big Mketo Tz :
dah wapi hii
2026-11-07 01:41:14
1
tvtwarik6
TVTWARIK :
Kuna kitu katika maneno yake mtume hana Sema mungu hangalihii maneno hanacho kingalia ni moyo una utakaso wa kutosha na kumcha mungu ameen ujembee ufike
2026-11-07 06:02:36
2
saidjuma146
Said Juma :
kumbe ni khutba..
2026-11-08 03:40:15
1
mailu864
mavuzi ya samaki :
MASHA ALLAH tabaraka Allah
2026-11-08 04:23:09
1
amoura_as122
잔ㄴ지발 :
mash
2026-11-08 04:20:57
1
drash270
DRASH :
NAOMBA NAMBA ZA HUKO JAMANI
2026-11-08 00:57:12
2
sherin.juma
Sherin Juma :
waislam tusigombane kwa mamboya ihtilafu waislam wenzetu ndo tunawaona ao twendeni vijijini tukasomeshe isha allh
2026-11-08 04:41:18
1
sheikhkitemwe3
Ramadhan Sayyid kitemwe :
😭😭😭Mwalimu tunakaaje mjini hali yakuwa hali ndio kama hivi subhanallah
2026-11-08 04:23:29
1
shaabanihadinanik
shaabanihadinanik :
jamani hukuniwapi
2026-11-08 04:26:30
1
h.a.s.s.a.nkibusuke
AL-H.A.S.S.A.N KIBUSUKE :
🥰 Allah awaongoze
2026-11-08 03:46:25
1
ashiraf.karata
Ashiraf Karata :
duuh
2026-11-07 22:47:38
1
To see more videos from user @bitokerubbega, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About