@kizeddy: Jummah Mubarak 🙏🏼 MashaAllah Tabarakallah kwa Neema ya Kuiona Ijumaa Nyingine 💛 Allah Akubariki Siku Hii Njema ya Ijumaa, Akujalie Nuru, Amani na Baraka. Dua Zako Zikubalike Leo, InshaAllah 🙏🏼 Ijumaa Njema Kwenu Nyote 🦋 #JummahMubarak #IjumaaNjema #MashaAllah #Tabarakallah #Dua